Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Nashukuru sana kwa nasaha zako Mzee mwenzangu, ni kweli hawa vijana ni lazma watambue kuwa ndoa sio tu kugundua style mpya za kungonoana deile..
Wii usisahau kuja na shemeji yangu.....Kaka ako mtu wa Vitendo
Sio maneno mengi kama V.....hako kajina simalizii ila ushakajua tu(siri yako)
Kwanza nitoe pongezi zangu za dhati kwa watarajiwa wote.
1. Ndoa si kama kwenda choo, kuwa aliyekula wali na aliyekula ugali wote mtapata choo. Ndoa ni japo nyeti sana.
2. @figganiga na Myakubanga mnaelekea kuyakwaa majukumu mapya. Zile tabia zenu mziache, msipoziacha nitawaanika hadharani.
3. Heaven on earth nakuomba upunguze harakati. Ndoa haihitaji harakati. Masuala ya haki sawa yataiponza ndoa yako.
a. Mwanaume hakosei hata siku moja.
b. Mwanaume haulizwi kwa ukali.
c. Paja zote ni za mwanaume. wewe kipapatio kinakutisha.
n.k.
NB.
Ndugu mwenyekiti, hapa jukwaani kuna vijana wa chakula tu na kuzalisha samadi.
Japo nina wivu ila sijinyongi.
Wii usisahau kuja na shemeji yangu.....Kaka ako mtu wa Vitendo
Sio maneno mengi kama V.....hako kajina simalizii ila ushakajua tu(siri yako)
Myakubanga yaani ndoa yetu imeangukia siku moja na nyie
hahahahahahaaaaaa.......!!!. unanipa raha mpenzi wangu. mia
Heaven on earth ile pati ya jikoni naomba mwaliko
mwallu halafu ujue nakudhimia basi tu.....:smile: nimechoka kuwa nipo nipo..... nataka nitangaze nia kwako kithura:target:Heaven on earth ile pati ya jikoni naomba mwaliko
Okey Cheameni !
All protocol observe!
We are carefully and attentively about!
Perceive and register it as being significant !
Afu congra kwa vijana walio disaidi kusogezeana maeneo ya vizazi.
hongera brazaa naona umevuta cha ukwe e, na mimi naangaza angaza humu nijivutie kajiko lakini sibahatiki thijui nina gundu:rolleyez:asante sana Baba V. mpenzi wangu Heaven on earth nakupenda sana. na sisi ndoa yetu ndo itakua mfano wa kuoigwa kwa wote walio ndani ya ndoa na nje ya ndoa. Mungu atusaidie. hiyo jumamosi kuna watu muhimu sana ambao hawatakosa.
dada zangu ram karucee na kijino. rafiki zangu mathematics washawasha slave na Invisible. kaka zangu Mwita Maranya Mzee wa Rula na Mtambuzi. kuna maswahiba gfsonwin ladyfurahia Mamndenyi Madame B ummu kulthum na amu. dah!...nina furaha sana. shemeji Arushaone wapi jamani?. mia
Thanks my sugarbunch....am happy to hear this news and i love you too honey,,,, to you am not tossing a dice but opting for a real love....this night am goin' to have a g9t in my world of cwt dreams...thanks again my babe mykubanga
yeah namjua vyema kabisa kaka angu, huwa ni mtu wa vitendo kuliko v.......... (naomba asijijue maana tutatolewa nduki maana wote tulikuwa tunashea pale lol)
wii mi simooo!
unaharakia wapi hadi jina la husband wako to be umelikosea....
Tuliza papara mamy huyo ni wako wako peke yako
hongera brazaa naona umevuta cha ukwe e, na mimi naangaza angaza humu nijivutie kajiko lakini sibahatiki thijui nina gundu:rolleyez:
mumy nina usingizi kama teja hapa nilipo...ntarudi asubuhi kesho...g9t