Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
Baba V
Hawa wanawake wa kizazi hiki wanashindwa kutofautisha maisha ya kwenye MOVIE na maisha HALISI.....
Heaven on earth kuwa makini.
Baba V eti wamepanga kukufungia kwa muda usiojulikana kutokana na uchochezi wako.......Uchochezi tena... !?? hivi kwa nini siku hizi ukweli mnauita uchochezi...!?
Bishanga Utamuua kwa presha bure mtoto wa mwanaume mwenzioAione Vin Diesel
Anaandaa breakfast afu dr alimshauri apunguze mazoezi sana kwa ajili ya kijacho.
Everythng happens for a reason,lol
kweli baby, kwa sasa sitakiwi kufanya mazoezi hadi nitimize 3month ndio naweza kufanya mazoezi madogomadogo
Mzee kadi ya mchango utaipata siku ya Kesho......ushindwe kuchanga tu
wewe mwenyewe......Somo la ndoa nilishaanza kulipata siku nyingi kutoka
kwa huyo huyo Lady doctor
Wii usinambie kitu kimetiki...........
Marhaba, Hujambo???
Punguza mchecheto.
Nasubiria kadi. Kumbuka Double sio Single!!!
wii ndio hivyo tena mwenzio shughuli imeambatana na mvua
Marhaba, Hujambo???
Punguza mchecheto.
Aisee ukitaka Mapera uwe unanambia nakuletea wii wangu.......hapa kwetu kuna mti
i hope couple yetu itafata mkondo wenu......
Hao wanaocheza picha la vandame nawajua ngoja tuhifadhi majina