Nini maana ya express way?Express way!!!
Tanzania mzima kuna kitu ka hiyo?
duh.. yaani umepaniki kwa kukuita dongo kundu?....basi sitorudia tena. [emoji23] [emoji23]Hizi akili zako sio za mtu ambaye amekuwa member wa Jf kwa miaka 15.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli mmepiga hatua,toka mwendokasi ya kuchora mpaka hii ambayo miundombinu ipo kabisa.
subiri uone vile nyang'au atakavyokuja na jibu lililojaa makeup.Nini maana ya express way?
Mzee sijui kwanini unarukaruka zaidi ya maharage yanayochemka. Tulia .duh.. yaani umepaniki kwa kukuita dongo kundu?....basi sitorudia tena. [emoji23] [emoji23]
Ah wapi bana. Interchange yenyewe wameijua tu juzi juzi.Express way!!!
Tanzania mzima kuna kitu ka hiyo?
Wacheni mchezo, ati mnasaini deal ya uvuvi, wakati Kenya tunasaini deal ya reli na mabarabara. Mtawacha kulala lini?[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 857267
sawa dongo.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee sijui kwanini unarukaruka zaidi ya maharage yanayochemka. Tulia .
kilomita 30...serious?. [emoji23]Wacheni mchezo, ati mnasaini deal ya uvuvi, wakati Kenya tunasaini deal ya reli na mabarabara. Mtawacha kulala lini?
Ukimaliza kutupia emoji utuoneshe ukubwa wa Zone ya viwanda Mombasa, urefu wa highway mbili N.Eastern, ambazo pia rais Uhuru Kenyatta ali'sign'. Usisahau pia mkimaliza reli yenu mtakuja chuo kikuu cha Nairobi kujifunza mengine mengi kuhusu SGR. πkuna vitu vinachejesha sana. ukivisikia unaweza kucheka.
huu ndio umbali wa kutoka mwenge to bagamoyo.
View attachment 857530
na huu ni umbali wa kutoka mwenge mpaka bunju.
View attachment 857531
uhuru kenyatta kafunga safari kwa umbali wa mile 5727 toka nairobi to beijing ku-sign deal la kujengewa barabara isiyozidi kilomita 30. ukisikia ujinga ndio huo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mwasiti acha hasira.Ukiwaona hapa wamejazana, jua Dawa imewaingia hadi kwa mfupa na sasa wengine wapo busy na TV stations za KENYA pamoja na magazeti kuokota any negative Kenyan news....@geza ulole na redeemer mbona kuchelewa hivi? Nyuzi tunazingoja.
30 kilometers... [emoji23] [emoji23]Ukimaliza kutupia emoji utuoneshe ukubwa wa Zone ya viwanda Mombasa, urefu wa highway mbili N.Eastern, ambazo pia rais Uhuru Kenyatta ali'sign'. Usisahau pia mkimaliza reli yenu mtakuja chuo kikuu cha Nairobi kujifunza mengine mengi kuhusu SGR. π
π π π 30 kilometer road is less than 25 Tanzanian billion this is another disgrace and insult to the president, how on earth your president lamenting that powerful to the Chinese president and shuttered with only 25 πΉπΏ billion project?
Kule Marekani alitolewa mkuku kwa msaada wa chakula, kwa may hakuna chochote mlichoambulia zaidi ya May kucheza singeli Harambee house
Huko kwa Xi ndio mmepasha viti joto ukumbini for all those days na all that population you recruited matokeo yake mmetolewa nduki na vijibilioni ushuzi na scholarships ambazo tayari mlishaahidiwa tokea 2015 π π π π π
Hiyo express way ni mradi wa siku nyingi sana na tayari π¨π³ ilishasema itawapa huo msaada so in short there's absolutely nothing new
Bagamoyo nimeisikia tangu 2015 but hadi sasa ni sakata tu...usilete hekaya hapaAll the PPPs Uhuru has singed are $500mn-700mn Bagamoyo Alone is $10bn JPM never even bothered to travel to China
Ushajibiwa.You think this is a road in the middle of nowhere.
That 30km stretch will cost more than any road you've ever built in the whole of bongolala.
It is right in the middle of the capital city, with a likelihood of many buildings or skyscrapers being demolished.
30 kilometers... [emoji23] [emoji23]
kilomita 30...serious?. [emoji23]
China Had insisted to Give Tz a loan similar to KE SGR, JPM fought them off and almost suspended the whole project..Thats when they coiled their tails between their legs and offered a $10bn PPP.Bagamoyo nimeisikia tangu 2015 but hadi sasa ni sakata tu...usilete hekaya hapa
Tanzania Fisheries sector contributes more than 5% in general GDPWacheni mchezo, ati mnasaini deal ya uvuvi, wakati Kenya tunasaini deal ya reli na mabarabara. Mtawacha kulala lini?