Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

kuna vitu vinachekesha sana. ukivisikia unaweza kucheka mara dufu.

huu ndio umbali wa kutoka mwenge to bagamoyo.
Screenshot_2018-09-05-10-18-21-538_com.opera.browser.jpg

na huu ni umbali wa kutoka mwenge mpaka bunju.
Screenshot_2018-09-05-10-19-12-012_com.opera.browser.jpg

uhuru kenyatta kafunga safari kwa umbali wa mile 5727 toka nairobi to beijing ku-sign deal la kujengewa barabara isiyozidi kilomita 30. ukisikia ujinga ndio huo.
videal vidogo kama hivi, jpm anasaini akiwa ikulu. hana sababu hata ya kutuma mtu asafiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiwaona hapa wamejazana, jua Dawa imewaingia hadi kwa mfupa na sasa wengine wapo busy na TV stations za KENYA pamoja na magazeti kuokota any negative Kenyan news....@geza ulole na redeemer mbona kuchelewa hivi? Nyuzi tunazingoja.
 
kuna vitu vinachejesha sana. ukivisikia unaweza kucheka.

huu ndio umbali wa kutoka mwenge to bagamoyo.
View attachment 857530

na huu ni umbali wa kutoka mwenge mpaka bunju.
View attachment 857531

uhuru kenyatta kafunga safari kwa umbali wa mile 5727 toka nairobi to beijing ku-sign deal la kujengewa barabara isiyozidi kilomita 30. ukisikia ujinga ndio huo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimaliza kutupia emoji utuoneshe ukubwa wa Zone ya viwanda Mombasa, urefu wa highway mbili N.Eastern, ambazo pia rais Uhuru Kenyatta ali'sign'. Usisahau pia mkimaliza reli yenu mtakuja chuo kikuu cha Nairobi kujifunza mengine mengi kuhusu SGR. 😎
 
Ukiwaona hapa wamejazana, jua Dawa imewaingia hadi kwa mfupa na sasa wengine wapo busy na TV stations za KENYA pamoja na magazeti kuokota any negative Kenyan news....@geza ulole na redeemer mbona kuchelewa hivi? Nyuzi tunazingoja.
mwasiti acha hasira.
 
Ukimaliza kutupia emoji utuoneshe ukubwa wa Zone ya viwanda Mombasa, urefu wa highway mbili N.Eastern, ambazo pia rais Uhuru Kenyatta ali'sign'. Usisahau pia mkimaliza reli yenu mtakuja chuo kikuu cha Nairobi kujifunza mengine mengi kuhusu SGR. 😎
30 kilometers... [emoji23] [emoji23]
 
😁 😁 😁 30 kilometer road is less than 25 Tanzanian billion this is another disgrace and insult to the president, how on earth your president lamenting that powerful to the Chinese president and shuttered with only 25 🇹🇿 billion project?

Kule Marekani alitolewa mkuku kwa msaada wa chakula, kwa may hakuna chochote mlichoambulia zaidi ya May kucheza singeli Harambee house

Huko kwa Xi ndio mmepasha viti joto ukumbini for all those days na all that population you recruited matokeo yake mmetolewa nduki na vijibilioni ushuzi na scholarships ambazo tayari mlishaahidiwa tokea 2015 😂 😂 😂 😂 😂

Hiyo express way ni mradi wa siku nyingi sana na tayari 🇨🇳 ilishasema itawapa huo msaada so in short there's absolutely nothing new

You think this is a road in the middle of nowhere.
That 30km stretch will cost more than any road you've ever built in the whole of bongolala.
It is right in the middle of the capital city, with a likelihood of many buildings or skyscrapers being demolished.
 
Wacheni mchezo, ati mnasaini deal ya uvuvi, wakati Kenya tunasaini deal ya reli na mabarabara. Mtawacha kulala lini?
Tanzania Fisheries sector contributes more than 5% in general GDP

Tanzania has more than 1500 kilometers of the cost lines favourable for Fisheries, it has more than 55,000 kilometers square in the deep sea waters 🌊 best for advanced fishing 🛳
 
Back
Top Bottom