Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Wapi nimesema umesema ?Katika Thread Content yangu kuna mahala nimesema Lake Oil ni ya Kikwete? Hivi kwanini huwa Mnawashwawashwa hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimesema umesema ?Katika Thread Content yangu kuna mahala nimesema Lake Oil ni ya Kikwete? Hivi kwanini huwa Mnawashwawashwa hivi?
Nafikiri una hamu ya kutekwaLeo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
Damn Fool.Ulituambia upo Ikulu kwa Mseven kutuheshimisha, mzee wa kitengo unakuja kuuliza umiliki wa LAKE OIL humu? sasa hapo Ikulu kwa Mseven umepeleka madafu?
Damn Fool.
Watt wa wakulima hawana makuuNa Watanzania je?