Haya kwa wale wanaume ambao mnataka kujua kama watoto mlionao ni wenu au mmebambikiwa kuleni chuma hiki cha DNA ya bure na ya asili

Leo wala sitaki kupoteza muda ni kwamba kama Wewe ni Mwanaume (Baba) unataka kujua Mtoto uliyenae ni Wako au siyo Wako fanya hivi tafadhali kwani hii ni DNA ya Asili na ya bure ambayo imetumika sana huko nyuma na Wazee wetu na bado Kwingineko Afrika inatumika.

Haya kama Mtoto wako ana ule Umri mfano wa yule Mtoto mdogo wa Dotto Magari (kuanzia miaka miwili au minne na hata mitano) hakikisha Asubuhi ya mapema (hasa akitoka Kuamka) mwambie aende Kukojoa Haja Ndogo kisha Wewe simama ukimtizama na ukiona huyo Mtoto anaelekea / anaenda Kukojoa na akageuka Kukuangalia jua huyo kwa 100% ni wako na ukiona anaenda /anaelekea halafu wala hajishughulishi kuangalia nyuma / au kukuangalia jua kwa 100% huyo Mtoto siyo wako.

Ukitaka kujua ni wapi nimeutoa huu Ukweli tembelea huu Mtandao wa zandaaanikabisa ambapo Mtaalam amefafanua.

Sasa GENTAMYCINE ninaanza kujiandaa kwenda Kuwapanga hawa kadhaa nilionao nijue ni wangu au mrangi kanipigia!!
Kijana punguza stress za kujitakia. Mtoto yeyote akizaliwa ndani ya himaya yako toka kwa mkeo wa ndoa na akaitwa kwa jina lako huyo ni wako wewe lea usiulize.
Kama ikatokea kiumbe akakubambikia mtoto, ukaona halitaathiri upande wako wote na uwezo unao we chukua huyo mtoto lea.
 
You're a Certified Imbecile.
 
Leo wala sitaki kupoteza muda ni kwamba kama Wewe ni Mwanaume (Baba) unataka kujua Mtoto uliyenae ni Wako au siyo Wako fanya hivi tafadhali kwani hii ni DNA ya Asili na ya bure ambayo imetumika sana huko nyuma na Wazee wetu na bado Kwingineko Afrika inatumika.

Haya kama Mtoto wako ana ule Umri mfano wa yule Mtoto mdogo wa Dotto Magari (kuanzia miaka miwili au minne na hata mitano) hakikisha Asubuhi ya mapema (hasa akitoka Kuamka) mwambie aende Kukojoa Haja Ndogo kisha Wewe simama ukimtizama na ukiona huyo Mtoto anaelekea / anaenda Kukojoa na akageuka Kukuangalia jua huyo kwa 100% ni wako na ukiona anaenda /anaelekea halafu wala hajishughulishi kuangalia nyuma / au kukuangalia jua kwa 100% huyo Mtoto siyo wako.

Ukitaka kujua ni wapi nimeutoa huu Ukweli tembelea huu Mtandao wa zandaaanikabisa ambapo Mtaalam amefafanua.

Sasa GENTAMYCINE ninaanza kujiandaa kwenda Kuwapanga hawa kadhaa nilionao nijue ni wangu au mrangi kanipigia!!
Mtu ana sura kama hii unataka utumie DNA gani
IMG_0612.jpeg
 
Hii inatumika huko vijijini, wanaokojoa kando ya nyumba kwenye majani.
Ni ujinga kumchungulia mtoto wako wa kike akikojoa
 
Back
Top Bottom