Au majivu.Lilikuwa linasafishwa na unga hilo.
Sure wabongo wapo tkt illusionNi neno au jina la kibiashara bwana , hakina maana hio unayodhani mleta mada
Chemli ilikuwa ni maisha ya kijijini?Sidhani.Miaka ya mwanzo 1980s hadi 1990s zilitumika mijini zaidi kuliko vijijini kwenye vibatari/koroboi kwa kadiri ya kumbukumbu zangu.Maisha ya kijijini hayo hiyo chemli nilikuwa nikiona siku nikienda kumsalimia Babu
ok ni neno tu lakini lazima liwe lina maana yake mkuuDIETZ ni neno ambalo kweli lilikuwa linaandikwa kwenye chemli(tuliliita yai la chemli).Nilikuwa najiuliza hapo zamani maana yake sikuipata.Nilijiuliza sana.Je,ni lugha ipi ilikusudiwa?Kiingereza,Kijerumani au ni alama tu ya kibiashara?Sikuelewa.
Yawezekana.ok ni neno tu lakini lazima liwe lina maana yake mkuu
Sikumbuki Ila Mimi wakati nakuwa 2000s chemli kuiona nimeiona kijijini Kwa babu miaka ya 2004 hiviChemli ilikuwa ni maisha ya kijijini?Sidhani.Miaka ya mwanzo 1980s hadi 199s zilitumika mijini zaidi kuliko vijijini kwenye vibatari/koroboi kwa kadiri ya kumbukumbu zangu.
Ndiyo maana.Umeona tofauti ya namna tulivyoweka kumbukumbu kulingana na miaka?Wakati unaiona mwaka 2004 mimi nipo kazini kwangu kubeba mizigo stendi ya mabasi kwa miaka mitano.Sikumbuki Ila Mimi wakati nakuwa 2000s chemli kuiona nimeiona kijijini Kwa babu miaka ya 2004 hivi