Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄 🤣 jamaa kalengaKufa tanzania
DIETZ ni nembo(motto) ya yai la chemli za taa za mafuta zilizokuwa zinatengenezwa Ujerumani Magharibi kabla ya miaka ya sitini, nembo(motto) ikimaanisha kiongozi wa watu.Tuliosoma shule za kayumba hatukuwa na muda wa kusoma na kungamua maandishi hivi sasa ndio nimeelewa waliandika hivi na je walikuwa wana.maana gani?
Walikosa neno lingine au basi kuna jambo? DIETZ alimaanisha watumiaji wote tutafia Tanzania hatutatoboa kwenda nje ya nchi au😂
View attachment 3136147
Polisi wetu walifunzwa huko jinsi ya kujua watakaofanya uhalifu kabla hawajakutana.😄 🤣 jamaa kalenga
Ila basi wazungu wako mbele yetu sana
Tangu 1800 huko walijua kuna nchi itaitwa Tz 😄 🤣
nini hiki...?Tuliosoma shule za kayumba hatukuwa na muda wa kusoma na kungamua maandishi hivi sasa ndio nimeelewa waliandika hivi na je walikuwa wana.maana gani?
Walikosa neno lingine au basi kuna jambo? DIETZ alimaanisha watumiaji wote tutafia Tanzania hatutatoboa kwenda nje ya nchi au😂
View attachment 3136147
Sawa ankalisubiri mantokeo ya mtihani dec ujue unaendelea na shule au vipi,,, kama hujui hata ukielezewa hutojua.