Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kioo utagundisha vphalafu haigundishiki
Inawezekana mkuu maana mitaa ya Kanda ya kati hapo hivi vitu viliikuwa vichache pia mdau inategemea amekulia wapi maana taa ya kandili aka chemli ilikuwa maarufu zaidi hasa ukipiga hatua kutoa level ya kibatari though hata ikiwepo chemli lazima kuwe na kibatari hata kimoja cha kuchafua puaUnajuaje chemli usijue karabai mkuu. Though miaka hiyo karabai ilikuwa kwa familia matawi...mwanga wake sio poa.
hakuna mzungu akaandika nembobyake.bila maana na.hyo miaka umejuaje au umetolea maandiko yaliyoanfikwa km waoendavyo wao yachapishwe.au.ulikuwepo miaka hyoDIETZ Lantern zilianza kutengenezwa,mwaka 1915.Je kulikuwa na Tanzania wakati huo.Hizi conspiracy theories za kijinga zinadumaza sana.Hiyo ni trademark haina uhusiano wowote na Nchi yeyote.
ewe.ume google hata.tukigoogle jina lako tutapata maana usioamin sasa ,,, km ni hivo bas wazungu tulishawafukuza kitambo nani aliwapa tenda ya kuendeleza kutengenez au kwann mtanzania atengenez atumie neno hilo kwan hamna lingine.Dietz Standard Grade Lanterns
Brief History
Robert Edwin Dietz first began selling whale oil and camphene lamps and lanterns in 1840 at the age of 22. Robert and his brother Michael patented the first practical flat wick burner especially designed for the then new fuel oil, kerosene, in 1859. The following decade Robert sold his interest in βDietz & Companyβ to begin manufacturing βIrwin Patentβ tubular lanterns after buying the defunct Archer and Pancoast Company from a receiver in 1868. Since that time the R.E. Dietz Company manufactured hundreds of lantern models, and pioneered the automotive lighting industry. The new lanterns offered below are not reproductions, but are a continuation of production on original tooling and presses, with some models now over 100 years old. The lantern division of the R. E. Dietz Company moved to Hong Kong in 1956, and all Dietz lantern production ceased in the U.S.A. in 1970. In 1982 the Dietz lantern factory was moved from Hong Kong into China. The R.E. Dietz Company was closed in the United States in 1992. For nearly 150 years, Dietz lanterns have been known around the world as βThe Old Reliable.β
mkuu huyu mtengenezaj ni jenereshe.ya.zaman sana namnaiongelea wakat hakuna hata mmoja wapo alikuwa kwa dunian wakat.ipo ila mmeenda fasta mkagoogle mlete majibu muonekane hakuna linalowashinda,,Wacha ujinga mwamba! DIETZ lilikuwa jina la kampuni iliyokuwa kutengeneza hizi taa za chemli sijui tulikuwa tunaita taa za Kandiri/li. Ilikuwa kampuni ya Kimarekani! Mwenye kampuni akiitwa Mr. Robert Edwin Dietz.
Kuna Koroboi (kibatari) na karabai ambazo ni vitu viwili tofauti. Karabai hiyo kwenye picha ilikuwa ukiiwasha una-pump kama uliwahi kuona yale majiko ya stove alafu huo wavu kwa ndani unatuna unawaka kama bulb na mwanga mkali zaidi kama umeme kiaina. Kimsingi Karabai ilikuwa ya kishua zaidi kuliko Chemli na ilikuwa inatumika zaidi na wavuvi kwenye kutega kitoweo aka dagaa etc kwa kuwavuta waje kwenye mwangamkuu karabaibsijui.koroboi nibkidude kidogo kinamshikio km kikombe hiv ika hyo uliyopost sio karabai au.nitakuwa.sijui
ok asantee sasa nimejua.kutofautisha karabai/kibatariKuna Koroboi (kibatari) na karabai ambazo ni vitu viwili tofauti. Karabai hiyo kwenye picha ilikuwa ukiiwasha una-pump kama uliwahi kuona yale majiko ya stove alafu huo wavu kwa juu unatuna unawaka kama bulb na mwanga mkali zaidi kama umeme kiaina. Kimsingi Karabai ilikuwa ya kishua zaidi kuliko Chemli na ilikuwa inatumika zaidi na wavuvi kwenye kutega kitoweo aka dagaa etc kwa kuwavuta waje kwenye mwanga
Hiyo chini karabai full picha πππ
Nimekuelewa mkuu!mkuu karabaibsijui.koroboi nibkidude kidogo kinamshikio km kikombe hiv ika hyo uliyopost sio karabai au.nitakuwa.sijui
kwa kweli utajutapasua uone
Kunywa maji, relax.DIETZ Lantern zilianza kutengenezwa,mwaka 1915.Je kulikuwa na Tanzania wakati huo.Hizi conspiracy theories za kijinga zinadumaza sana.Hiyo ni trademark haina uhusiano wowote na Nchi yeyote.
Sasa kama brand moja ilifanya vizuri kibiashara kwanini maharamia wasitumie jina/nembo hiyo ili kujipatia mauzo?.. sio kitu cha ajabu, kuna iphone fake apple, viatu fake vya nike n.kw
ewe.ume google hata.tukigoogle jina lako tutapata maana usioamin sasa ,,, km ni hivo bas wazungu tulishawafukuza kitambo nani aliwapa tenda ya kuendeleza kutengenez au kwann mtanzania atengenez atumie neno hilo kwan hamna lingine.