Wapeleke kwenye vichekesho.Ujinga lazima upingwe ama sivyo utazoeleka.Ndio tatizo letu kila jambo tunachukulia kiutaniutani.Hata vitu serious.Umbeya,uzushi na uzandiki ndio mada zinazochukua nafasi kubwa kwenye maisha yetu ya kila siku.Kunywa maji, relax.
Hiki ni kijiwe cha story mchanganyiko.
Sio lazima kuwa serious muda wote.
Mimi O-level yangu yote nimesomea koroboi na vibatari.Chemli ilikuwa ni maisha ya kijijini?Sidhani.Miaka ya mwanzo 1980s hadi 1990s zilitumika mijini zaidi kuliko vijijini kwenye vibatari/koroboi kwa kadiri ya kumbukumbu zangu.
okSasa kama brand moja ilifanya vizuri kibiashara kwanini maharamia wasitumie jina/nembo hiyo ili kujipatia mauzo?.. sio kitu cha ajabu, kuna iphone fake apple, viatu fake vya nike n.k
Huyo bwana Dietz; taa na chemli zake ziliaminika na kuuza sana miaka hiyo, ndio maana wakaja maharamia wakaiga
h kusemaTuliosoma shule za kayumba hatukuwa na muda wa kusoma na kungamua maandishi hivi sasa ndio nimeelewa waliandika hivi na je walikuwa wana.maana gani?
Walikosa neno lingine au basi kuna jambo? DIETZ alimaanisha watumiaji wote tutafia Tanzania hatutatoboa kwenda nje ya nchi auš
View attachment 3136147
Kuna member aliwahi kusema kupasua hii ktu ilkua ni kesi ya uhain nyumban kwaoTuliosoma shule za kayumba hatukuwa na muda wa kusoma na kungamua maandishi hivi sasa ndio nimeelewa waliandika hivi na je walikuwa wana.maana gani?
Walikosa neno lingine au basi kuna jambo? DIETZ alimaanisha watumiaji wote tutafia Tanzania hatutatoboa kwenda nje ya nchi auš
View attachment 3136147
na MAERSK sijui yale magari makubwaaa ye kontena
Hayo maisha yalikuwa mazuri kwakweli au unasemaje mkuu.naweza sema.najua.ila.bado.sana ššš
chamli
karabai
kibatari
koroboi
which is whichššš
ukute ni brand kubwa tu huko njeDIETZ ni neno ambalo kweli lilikuwa linaandikwa kwenye chemli(tuliliita yai la chemli).Nilikuwa najiuliza hapo zamani maana yake sikuipata.Nilijiuliza sana.Je,ni lugha ipi ilikusudiwa?Kiingereza,Kijerumani au ni alama tu ya kibiashara?Sikuelewa.
hii sijatumia ila inaotwa kibatari masokoni navionagaKwel wengi wenu humu ni watoto wa alfu mbili , yani mnashangaa hilo𤣠wa hili tujuaje...View attachment 3136396
Tena ni jina la Ubini wa familia ya kimarekani Robert Edwin DietzDIETZ Lantern zilianza kutengenezwa,mwaka 1915.Je kulikuwa na Tanzania wakati huo.Hizi conspiracy theories za kijinga zinadumaza sana.Hiyo ni trademark haina uhusiano wowote na Nchi yeyote.
Kampuni hiyo iliendelea sana kutoka USA mpaka Hong Kong na mwisho wakatupiwa Wachina ndio wakawa wanafyatua hizow
ewe.ume google hata.tukigoogle jina lako tutapata maana usioamin sasa ,,, km ni hivo bas wazungu tulishawafukuza kitambo nani aliwapa tenda ya kuendeleza kutengenez au kwann mtanzania atengenez atumie neno hilo kwan hamna lingine.