Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.
Kuna siku niliiona pale Pestana Dodoma majamaa wameshiba na miili imejengeka vyema, wamevaa vipens vifupi hadi juu ya mapaja na vimebana maungo yao hadi maeneo ya kukalia...🤔
Kuna mmoja juzi katoka huko mkoani safi kaingia mjini namuona amevaa vizuri tu, siku ya tatu suruali hazimtoshi zinaanguka tu kiunoni..🤣
Kuna mmoja amekuja juzi akapewa kibarua hapa akapiga kazi safi akachoka kavua shati lake kabaki na suruali kafunga mkanda wake vizuri tu, nilicho kiona leo baada ya kuvua shati eti kafunga kamba ya viatu badala ya mkanda....
Nimemtimulia mbali na kazi hakuna....😕
Yaani awamu hii imekua na vijana wa hovyo sana....😕🤨