Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

Vibukta vifupi mapaja yote nje...

Visuruali vinawabana kutembea hadi waweke mikono mfukoni..

Ni kero Aiseeee
Kuna mmoja aliingia sehem na kinyasa, aiseee nilijikuta nachukia hadi nikaondoka kabla ya kuagiza chakula
 
IMG_5616.jpg

Kwahyo unataka tuvae hivi
Hapana bana siwez vaa hivi kbsa
Mrejezo navaa kiukwel
 
Ndio kusema mjini hali akashiba so amekonda au[emoji23]

Mmoja tupo naye kijiweni hapa, yaani anavaa mlegezo akinyanyuka lazima avute suruali, halafu ni mbaba wa miaka 40 hata hajishtukii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mmoja amekuja juzi akapewa kibarua hapa akapiga kazi safi akachoka kavua shati lake kabaki na suruali kafunga mkanda wake vizuri tu, nilicho kiona leo baada ya kuvua shati eti kafunga kamba ya viatu badala ya mkanda....
Nimemtimulia mbali na kazi hakuna....[emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Una tabia mbayaa lol
 
Wazee mmepitwa na wakati, muwaache vijana na zama zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kila kizazi kicheze na wakati wake.
 
Back
Top Bottom