myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Hovyo kabisa..Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.
Yaani awamu hii imekua na vijana wa hovyo sana.