Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

Mtu akifunga suruali kwa kamba ya kiatu, wewe unaathirika vipi mkuu?

Ni kweli kabisa umemhukumu kwa kuangalia kitu anachotumia kufungia suruali badala ya kuangalia output ya kazi anayoifanya?
 
Ni mchakato wa ukuaji, Ila kwa kata-K nampinga mtoa mada,
Kwamba tuwapongeze wakivaa kata k...🤨 siku sijazo sizitavaliwa chini ya goti...🤔
 
Punguza ukali wa maneno basi maana mtandao Kijiji, sikutishi Bali nakuelekeza na ukinielewa itapendeza 🙏🙏
Kwamba tuwapongeze wakivaa kata k...🤨 siku sijazo sizitavaliwa chini ya goti...🤔
 
Mambo ya mjini jaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
KIJANA VAA KILE KITU UNAPENDA! WAZEE MSITUPANGIE VITU VYA KUVAA KAMA VILE MNATUNUNULIA.
 
Punguza ukali wa maneno basi maana mtandao Kijiji, sikutishi Bali nakuelekeza na ukinielewa itapendeza [emoji120][emoji120]
Asee hamna kitu kinanikera kisuruali njiwa na kimebana Kwa chini halafu hawavai socks such a foolish fashion.. takataka uchafu..fesheni nyingine ziacheni zilivyo jameni...huna Hela ,huna chochote zingine ukivaa Zina shout umasikini wako hasa hii ya kisuruali njiwa bila socks ina watu wake mie nimewaza tu Kwa sauti sijasema bhana
 
Haya mambo sio Kwa sisi vijana hata watu wazima yapo....yaan mpaka nawazaga akierect inakuaje😁
 
Vikaptula haviwapendezi kabisa basi tu hawajui, ndo maana najipendea zangu wazee tu hawa kina chekibob hapana ni aibu hata kuwatambulisha leo avae kata k, kesho kiboksa keshokutwa imechanwa mpk kwenye pumbu mfyuuuuu,

2020 ktk safari nilikutana na boyfriend wa dogo wangu mmoja hivi akiwa na mdogo wake walikuwa wamevaa hivyo vikaptula😳nilifadhaika sana
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…