Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2878110Ina maana wananchi wameshindwa kuelewa nini Rais wetu anafanya hadi watangaziwe kwenye mabango?
Ina maana raia hawamjui rais wao hadi afanyiwe kampeni kwenye mabango ilihali yupo madarakani?
View attachment 2878111
Haya mabango kila kona nchini yanaendelea kusimikwa kana kwamba tupo kwenye kampeni za uchaguzi aa urais yana sadifu nini haswa?
View attachment 2878107
View attachment 2878108
View attachment 2878109
Kama yanalipiwa na wafanyabiashara, wao wanapata nini in collateral?
Kama serikali inatoa hela, mbona ripoti ya CAG ipo kimya.kwenye hili? Je hela inatoka kwenye vote gani ya bajeti?
View attachment 2878112
View attachment 2878113
Kama huu ndo ubunifu wa kitengo, basi tuna watumishi mafisadi huko ndani kuliko hata wanasiasa wetu.
Tunahitaji
HAyo mabango mnayoyaweka yanatusaidia nini sisi wananchi?
- Huduma bora za afya
- Maji safi, salama ya uhakika
- Umeme usio katikakatika
- Miundombinu imara
- Katiba mpya
- Kushuka kwa mfumuko wa bei
- Kudhibiti rushwa
Wewe ndiye uliyepata tenda ya kusambaza mabango ya kumnadi mama Samia?We umepima uwezo wako wa kufikiri?
nakuheshimu sana brother.Naunga mkono hoja nafikiri wanaosimamia ni wenyewe hao timu kizimkazi ila sisi wananchi wake wanatuona kama viumbe vya ajabu yaani Kila mda umeme unakata sana mara bidhaa zinapanda sana bei mara tudanganywe kuwa Kuna bima ya afya kwa wote mara bima ya afya haitumiki hospital za private mara viongozi watuone sisi hayawani
Tena zinapigwa kwa kutafutiwa sababu nzuri ya kupendeza na kuonekanaWapigaji kodi zetu
Ni kodi zetu
Ina maana wananchi wameshindwa kuelewa nini Rais wetu anafanya hadi watangaziwe kwenye mabango?