Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
By JiweWatanganyika siyo wajinga........
Hii Picha mmeitoa wapi Ina uhakisia??Mkuu unaweza kusoma vizuriView attachment 2425973
SGR.
Hawa jamaa wanaona aibu kukiri kukosea 😀By Jiwe
Wataalam watatetea mpaka tone la mwisho halafu baada ya miaka miwili itaonekana kulikuwa na makosa.......ila chanzo Cha nchi yetu kuwa hapa tulipo ni hawa wanaojiita wataalamUjanjaujanja Wa Ccm Huu
Gusi La Enzi Ya Mkoloni
Huenda wamepewa bureIkiwa hizo bedford/leyland model ni kwa ajili ya masafa marefu (kigoma, mwanza) mbona yameletwa mapema sana kabla hata hiyo sgr haijafika huko?
Tena bora haya yalikua mazuri ila sio huo uchafu wao waliouleta.
Tatizo ni Reli ya kisasa halafu design design ya mabehewa ni ya kizamani.Za kizamani hata ndani hujaona zipoje, hii imekaaje mzee? Au za kisasa zipoje kwa nje?
Does it change anything?Ulishawahi panda train za umeme
Design ya kizamani..!! Sasa kuna nini cha kisasa kwenye hayo mabehewa ya kwenye cinema ya No escape from Sobibo?Tatizo ni design ndiyo ya kizamani.
hayo ni reject wazungu wanayatupa kwetu sababu kwao yanaharibu mazingira.africa is a dumping place.Ikiwa hizo bedford/leyland model ni kwa ajili ya masafa marefu (kigoma, mwanza) mbona yameletwa mapema sana kabla hata hiyo sgr haijafika huko?
...na ukarabati wake ukawa karibu sawa na mpyaHuenda wamepewa bure
Waandishi wa habari nao ni mazuzu au bahasha wanazopewa zinawafanya wawe mazezeta, mara ya mwisho kumsikia mwandishi wa habari akiuliza swali la maana ilikuwa lini?Hivi kipindi wanasema hayo hakukuwa na watu karibu wa kuwapiga mawe?