Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hawa waandishi wa Habari njaa wanaopokea simu na kuandika wwnayoambiwa badala ya kufika kwenye tukio?Waandishi wa habari nao ni mazuzu au bahasha wanazopewa zinawafanya wawe mazezeta, mara ya mwisho kumsikia mwandishi wa habari akiuliza swali la maana ilikuwa lini?
Yaani hakuna watu bogus kama waandishi wetu ambao hata nje hawawezi kwenda wala kuwa na muwakilishi, sasa hapo unategemea nini