Haya mabehewa TRC Wamezitolea ufafanuzi wa Kitaalamu kabisa

Waandishi wa habari nao ni mazuzu au bahasha wanazopewa zinawafanya wawe mazezeta, mara ya mwisho kumsikia mwandishi wa habari akiuliza swali la maana ilikuwa lini?
Hawa waandishi wa Habari njaa wanaopokea simu na kuandika wwnayoambiwa badala ya kufika kwenye tukio?

Yaani hakuna watu bogus kama waandishi wetu ambao hata nje hawawezi kwenda wala kuwa na muwakilishi, sasa hapo unategemea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…