Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mbona madini mengine yanafanya watu wauwane....
Madini aliyoyaweka muumba katikati ya mapaja ya mwanamke?dah we jamaa
Fafanua zaidi tuweze kuelewa mkuuMadini yanatengeneza silaha za maangamizi .
Kunaipa thamani kitu kisichokuwa na faidaAnasa tu
Ova
Nakubaliana na hoja yako, swali; kwa nini malkia wa mchwa asiuzwe kwa bei inayozidi bei ya ng'ombe?Kitu kuwa na gharama kinategemea pia factor ya upatikanaji
Uadimu ni uexpensive
Hapana kuna vifaa vya ndege vinatumia madini mkuu. Silaha. Mabomu ya nyuklia and so on so forthAnasa tu
Ova
Unamaanisha kitu chochote kisichopatikana kwa urahisi, kipewe thamani kubwa bila kuangalia umuhimu/matumizi yake?Hayapatikani kiurahisi ndo thamani yake kubwa inapokuja
Hayana thamani hayo; elfu tano, kumi n.k unapataMbona madini mengine yanafanya watu wauwane....
Madini aliyoyaweka muumba katikati ya mapaja ya mwanamke?
Inawezekana; lakini mbona hakuna uwazi kwenye hayo matumiziHapana kuna vifaa vya ndege vinatumia madini mkuu. Silaha. Mabomu ya nyuklia and so on so forth
Ukitaka kujua dhamani liwe dini la mkeo usikie kuna mtu kalipindua pindua...utanyonga mtu au kupiga risasa sabaHayana thamani hayo; elfu tano, kumi n.k unapata
No yapo wazi kabisa just google u will see everythingInawezekana; lakini mbona hakuna uwazi kwenye hayo matumizi
Unamaanisha, walithaminisha kutokana na upatikanaji wake, na si kwa matumizi yake?Kutokupatikana kwa urahisi na gharama kubwa ya uchakataji wake, hayo yote yamepelekea binadamu tangu enzi na enzi kukubaliana kuyapa thamani