Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka thaman yake ilikuwa kubwa kabl ya uzinduz au mapinduzi ya teknolojia, toks zama za mitume madini hayo (dhahabu) yalikuwa na thamani,hizi electronics zimekuja jana tu,nn kinaipa thamani?? Bado jibu halijajitosheleza!!Dhahabu ndio madini hapo ila almasi, lulu (tanzanite) sio madini ila ni mawe ya thamani. Almasi ukiacha urembo hutumika kama kichwa katika mashine ya kutobolea miamba migumu.
Tanzanite ni jiwe tu la urembo huwekwa kama nakshi kwenye vidani, pete, crown [emoji146] za ufalme, na hata samani za ndani etcs.
Ila dhahabu, shaba, copper, chuma, etc haya ni madini yenye thamani zaidi kupita maelezo sababu yanamatumizi makubwa sana ya kiuchumi.
Kwasababu umetaja gold nitakusaidia kujua umuhimu wake. Gold hutumika katika utengenezaji wa simu, electronics mbali mbali kama computer, TV especially hizi za kisasa, vifaa vya kuendea nje ya dunia, robots za viwandani, urembo, lakini pia ni madini yenye stable value na huweza kutumika kama mbadala wa US dollar kwenye reserve ya bank kuu.
Ndio maana US akijua una reserve kubwa ya gold kama ya Gaddafi au Saddam's Hussein lazima aje akuuwe na kuichukua.
So katika yote umetaja hapo dhahabu ni namba moja kwa thamani kuliko yote sababu ina matumizi mengi sana.
Kwa taarifa zaidi nenda mtandaoni utalekezwa zaidi.
Kitendo tu cha mkeo kugawa makinikia yake yachenjuliwe na vibaka inaonesha kukosa thamani.Ukitaka kujua dhamani liwe dini la mkeo usikie kuna mtu kalipindua pindua...utanyonga mtu au kupiga risasa saba
Hela sio karatasi ni kitambaa kileSure kuna mtu aliwai kuniuliza hilo swali nikashindwa kumjibu.
Labda mimi ninahisi ni kitu kilichokubaliwa kupewa tu thamani ili kitumike tu kama means ya utajiri.
Ni kama tu hela ilivyo karatasi lakini watu wamekubaliana kulipa thamani ilo likaratasi
Mbona majibu unayo, hebu jiulize kwanini demu mwenye mgongo wanaume wanampigania? Natumai sasa majibu unayo na utafuta Uzi ili tuendelee na mambo ya msingi kama vile kupambana na Tembo kula mazo kwa kutumia pilipili mbuzi au nyuki, nkHuwa najiuliza, haya madini kama: almasi, dhahabu, Tanzanite n.k ni kitu gani kinayapa thamani au yanafanya kazi gani kubwa yanayoendana na thamani ya mauzo?
Kwa ufahamu wangu mdogo, najua yanatumika kwa mapambo, kukatia vioo na miamba (almasi); lakini, kwa nini yanathaminishwa kwa gharama kubwa?
Au yana matumizi makubwa mengine yaliyojificha?
Ukiniuliza ni madini gani ningependa yawe na thamani kubwa kuliko dhahabu, almasi n.k, ningependekeza 'copper', 'aluminium', chuma n.k kwa sababu mahitaji na matumizi yake makubwa yanajulikana.
Wakuu, tujadili; kwa nini yanapewa thamani kubwa wakati yanafanya kazi za kawaida sana.
Dhahabu ndio madini hapo ila almasi, lulu (tanzanite) sio madini ila ni mawe ya thamani. Almasi ukiacha urembo hutumika kama kichwa katika mashine ya kutobolea miamba migumu.
Tanzanite ni jiwe tu la urembo huwekwa kama nakshi kwenye vidani, pete, crown [emoji146] za ufalme, na hata samani za ndani etcs.
Ila dhahabu, shaba, copper, chuma, etc haya ni madini yenye thamani zaidi kupita maelezo sababu yanamatumizi makubwa sana ya kiuchumi.
Kwasababu umetaja gold nitakusaidia kujua umuhimu wake. Gold hutumika katika utengenezaji wa simu, electronics mbali mbali kama computer, TV especially hizi za kisasa, vifaa vya kuendea nje ya dunia, robots za viwandani, urembo, lakini pia ni madini yenye stable value na huweza kutumika kama mbadala wa US dollar kwenye reserve ya bank kuu.
Ndio maana US akijua una reserve kubwa ya gold kama ya Gaddafi au Saddam's Hussein lazima aje akuuwe na kuichukua.
So katika yote umetaja hapo dhahabu ni namba moja kwa thamani kuliko yote sababu ina matumizi mengi sana.
Kwa taarifa zaidi nenda mtandaoni utalekezwa zaidi.
You're absolutely right...Naunga hojaDhahabu ndio madini hapo ila almasi, lulu (tanzanite) sio madini ila ni mawe ya thamani. Almasi ukiacha urembo hutumika kama kichwa katika mashine ya kutobolea miamba migumu.
Tanzanite ni jiwe tu la urembo huwekwa kama nakshi kwenye vidani, pete, crown [emoji146] za ufalme, na hata samani za ndani etcs.
Ila dhahabu, shaba, copper, chuma, etc haya ni madini yenye thamani zaidi kupita maelezo sababu yanamatumizi makubwa sana ya kiuchumi.
Kwasababu umetaja gold nitakusaidia kujua umuhimu wake. Gold hutumika katika utengenezaji wa simu, electronics mbali mbali kama computer, TV especially hizi za kisasa, vifaa vya kuendea nje ya dunia, robots za viwandani, urembo, lakini pia ni madini yenye stable value na huweza kutumika kama mbadala wa US dollar kwenye reserve ya bank kuu.
Ndio maana US akijua una reserve kubwa ya gold kama ya Gaddafi au Saddam's Hussein lazima aje akuuwe na kuichukua.
So katika yote umetaja hapo dhahabu ni namba moja kwa thamani kuliko yote sababu ina matumizi mengi sana.
Kwa taarifa zaidi nenda mtandaoni utalekezwa zaidi.
Mkuu, tunaomba ufafanuziPia kuna viumbe wanafanya biashara za hayo madini na binadamu kwenda kuziba space yao ilioharibika na kuathirika sana na joto.