Kiwe na matumizi nazani umeweka kazi ya hayo madini na ni nadra kupatikanaUnamaanisha kitu chochote kisichopatikana kwa urahisi, kipewe thamani kubwa bila kuangalia umuhimu/matumizi yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwe na matumizi nazani umeweka kazi ya hayo madini na ni nadra kupatikanaUnamaanisha kitu chochote kisichopatikana kwa urahisi, kipewe thamani kubwa bila kuangalia umuhimu/matumizi yake?
Inaweza isiwe sababu ya msingi; inawezekana yana matumizi ya siri, ambayo hawataki ulimwengu wajueWhy Are Gold and Diamonds Valuable? Both gold and diamonds are valuable largely because they are exceedingly difficult to mine. They also each require skilled tradesmen in order to hone and create gorgeous jewelry and trinkets.
Inaweza isiwe sababu ya msingi; inawezekana yana matumizi ya siri, ambayo hawataki ulimwengu wajueWhy Are Gold and Diamonds Valuable? Both gold and diamonds are valuable largely because they are exceedingly difficult to mine. They also each require skilled tradesmen in order to hone and create gorgeous jewelry and trinkets.
Wengine wanajiua wenyewe....'katibu was masanja'Mbona madini mengine yanafanya watu wauwane....
Madini aliyoyaweka muumba katikati ya mapaja ya mwanamke?
Dhahabu ndio madini hapo ila almasi, lulu (tanzanite) sio madini ila ni mawe ya thamani. Almasi ukiacha urembo hutumika kama kichwa katika mashine ya kutobolea miamba migumu.Huwa najiuliza, haya madini kama: almasi, dhahabu, Tanzanite n.k ni kitu gani kinayapa thamani au yanafanya kazi gani kubwa yanayoendana na thamani ya mauzo?
Kwa ufahamu wangu mdogo, najua yanatumika kwa mapambo, kukatia vioo na miamba (almasi); lakini, kwa nini yanathaminishwa kwa gharama kubwa?
Au yana matumizi makubwa mengine yaliyojificha?
Ukiniuliza ni madini gani ningependa yawe na thamani kubwa kuliko dhahabu, almasi n.k, ningependekeza 'copper', 'aluminium', chuma n.k kwa sababu mahitaji na matumizi yake makubwa yanajulikana.
Wakuu, tujadili; kwa nini yanapewa thamani kubwa wakati yanafanya kazi za kawaida sana.
Sijui nieleze vp lakiniInaweza isiwe sababu ya msingi; inawezekana yana matumizi ya siri, ambayo hawataki ulimwengu wajue
[emoji23]Mbona madini mengine yanafanya watu wauwane....
Madini aliyoyaweka muumba katikati ya mapaja ya mwanamke?
Sure kuna mtu aliwai kuniuliza hilo swali nikashindwa kumjibu.Inaweza isiwe sababu ya msingi; inawezekana yana matumizi ya siri, ambayo hawataki ulimwengu wajue
Bila dhahabu High-tech haipo. Bila Diamond precision work hazipo,Dhahabu ndio madini hapo ila almasi, lulu (tanzanite) sio madini ila ni mawe ya thamani. Almasi ukiacha urembo hutumika kama kichwa katika mashine ya kutobolea miamba migumu.
Tanzanite ni jiwe tu la urembo huwekwa kama nakshi kwenye vidani, pete, crown [emoji146] za ufalme, na hata samani za ndani etcs.
Ila dhahabu, shaba, copper, chuma, etc haya ni madini yenye thamani zaidi kupita maelezo sababu yanamatumizi makubwa sana ya kiuchumi.
Kwasababu umetaja gold nitakusaidia kujua umuhimu wake. Gold hutumika katika utengenezaji wa simu, electronics mbali mbali kama computer, TV especially hizi za kisasa, vifaa vya kuendea nje ya dunia, robots za viwandani, urembo, lakini pia ni madini yenye stable value na huweza kutumika kama mbadala wa US dollar kwenye reserve ya bank kuu.
Ndio maana US akijua una reserve kubwa ya gold kama ya Gaddafi au Saddam's Hussein lazima aje akuuwe na kuichukua.
So katika yote umetaja hapo dhahabu ni namba moja kwa thamani kuliko yote sababu ina matumizi mengi sana.
Kwa taarifa zaidi nenda mtandaoni utalekezwa zaidi.
Hii inaweza kuwa sababu4) Space exploration
Closely allied with electronic uses, space exploration and satellites are another growing consumer of gold. Besides the numerous electronic components, thin coatings of the metal are used in for shields and visors, and golds dependability is essential for the high-risk situation of space travel and exploration.
Gold particles reflect infrared radiation from the sun, helping to keep temperatures down on darker panels and visors. Gold can also be used as a lubricant, and the volatility of organic lubricants makes them unsuitable to the extreme temperature ranges and high radiation of space.
Nakubaliana na hoja yako, swali; kwa nini malkia wa mchwa asiuzwe kwa bei inayozidi bei ya ng'ombe?