Haya madini yanafanya kazi gani kubwa, mpaka kupewa thamani kubwa?

Technologies ya kutengeneza vifaa kwenda airspace huko, hayo madini yanatumika sana.

Pia kuna viumbe wanafanya biashara za hayo madini na binadamu kwenda kuziba space yao ilioharibika na kuathirika sana na joto.
 
Kumbuka thaman yake ilikuwa kubwa kabl ya uzinduz au mapinduzi ya teknolojia, toks zama za mitume madini hayo (dhahabu) yalikuwa na thamani,hizi electronics zimekuja jana tu,nn kinaipa thamani?? Bado jibu halijajitosheleza!!
 
Hela sio karatasi ni kitambaa kile
 
Hasa ni juu ya technologies, Devices nyingi wanaunda kwa madini ndani yake
 
hayo madini na mawe uliyoyataja yana thamani kubwa sababu ni moja,yana kazi nyingi lakini upatikanaji wake ni mgumu sana.

leo hii dhahabu ingekuwa inapatikana kwa urahisi kama chuma ingesaidia kazi nyingi sana maana ni muhimu mno,inapitisha umeme wa ufanisi wa juu kabisa kuliko metal yoyote ulimwenguni ndio sababu sakiti za vifaa vya umeme kumewekwa michirizi ya dhahabu tupi nyuma.inatumika kwa urembo.

leo hii almasi ingekuwa inapatikan kama chuma ingesaidia kazi nyingi,almasi ndio jiwe gumu kuliko yote duniani,hata kuchubuka mpaka almasi nyingine itumike,urembo pia almas hutumika,na kutumika kukatia metal nyingine na uchimbaji wa mafuta.

kinachofanya almasi kuachwa kwenye viwango vya thamani na dhahabu sababu hakuna dhahabu tofauti,ila kuna almasi ya blue,pink,nyeupe nk na kutoa dhamani tunaangalia nyufa na aina ya almasi katika jiwe husika,ila dhahabu hakunaga hizi mambo ukiwa nayo ni dhahabu ile ile.
 
Mbona majibu unayo, hebu jiulize kwanini demu mwenye mgongo wanaume wanampigania? Natumai sasa majibu unayo na utafuta Uzi ili tuendelee na mambo ya msingi kama vile kupambana na Tembo kula mazo kwa kutumia pilipili mbuzi au nyuki, nk
 

".....Ndio maana US akijua una reserve kubwa ya gold kama ya Gaddafi au Saddam's Hussein lazima aje akuuwe na kuichukua...."

Umesoma kwenye uzi ukahisi wengi watakuwa vilaza ukaona ujiongeze kutaka kupotosha watu... UMEANDIKA UONGO WA SGR
 
You're absolutely right...Naunga hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…