Haya madubwana yapokewa Ukraine huku maandalizi ya spring counteroffensive yakiendelea

Na nyinyi muwe na aibu basi khaaaa, yaani misaada mmeshaona kama ni haki yenu.

Kwani nyinyi ni walemavu wa ubongo, hamuwazi kujitegemea, muda wote mnawaza jinsia ya kupewa msaada na mzungu.
 
Yaani huwa unaandika eidha kama taahira au kama chokolostick vile
 
Mkuu kwa akili ya kawaida unaamini kuwa Russia anaweza kuaribu uchumi wa Ulaya lakini uchumi wa Russia ikabaki salama?

Kwa vile unapata taarifa kutoka ulaya ila upati taarifa kutoka Russia unaweza dhani kuwa Ulaya inayumba ki uchumi kuliko Russia.
 
kwa kidogo walichokua nacho wameweza kumlemaza supapawa tegemeo la waarabu wenu, sasa wanaendelea kupata vitu vya kweli...
Kwani Russia Ina uhusiano gani na waarabu
 
Kitu ambacho hukijui,,,,Urusi hakuanzisha hii SMO.
 
Na nyinyi muwe na aibu basi khaaaa, yaani misaada mmeshaona kama ni haki yenu.

Kwani nyinyi ni walemavu wa ubongo, hamuwazi kujitegemea, muda wote mnawaza jinsia ya kupewa msaada na mzungu.


Hiyo sio misaada bali ni haki yetu, tunaiita misaada kwakuwa sisi ni Waungwana.

Jinsi walivyonyonya mali asili zetu zama za ukoloni, jinsi walivyotumikisha babu zetu, jinsi leo wanavyochota mali zetu, we huoni ??!, utajiti wao wote umetegemea mambo hayo.
 
Tuombe Mungu hii vita imalizike salama maana imeleta madhara makubwa sana kwa binadamu. Shida ni kwamba Mrusi siku zote hawezi kukubali kushindwa. Kumbuka kuwa anatawala ki dictator na watu wake kufa kwake siyo shida,
Kwa mantiki hiyo shida itakwisha pale mwenye Udikteta akifa yeye mwenyewe na itapendeza zaidi hao watu wake wanaokufa wakifanikisha kumuua. (Rejea kisa cha Idi Amin wa Uganda enzi hizo na udikteta wake ulivyoanguka).
 
Nashangaa kwa nini nyie hamjaenda huko mkajilipue ili mkapate wale mabikra 72 walio katika nchi ya kusadikika, unapiga kelele humu tu kila siku sasa wewe ni jihadist gani sasa. Bure kabisa.
 
Vp gavoo ishalipa mishahara ya watumishi wa umma hapo kwenu
 
Ooh wameleta tena tipa mpya? Yale ya mwanzo yalienda wapi au yalikuwa ya kichina?
 
Usiwaamini sn waarabu, hawaaminiki hao
 
Mkuu kwa akili ya kawaida unaamini kuwa Russia anaweza kuaribu uchumi wa Ulaya lakini uchumi wa Russia ikabaki salama?

Kwa vile unapata taarifa kutoka ulaya ila upati taarifa kutoka Russia unaweza dhani kuwa Ulaya inayumba ki uchumi kuliko Russia.
Napata taarifa kutoka sehemu zote...nafanya analysis ..siishii kwa Russia au West tu...nafuatilia habari za China, Asia, Latin America, Japan na kadhalika...umwamba wa West, USA unatoweka taratibu....Kama ilivyodondoka Roman Empire na empire nyingine zote zilizopita Marekani nayo inadondoka.ndiyo maana inapambana kufa na kupona lakini haiwezii kupona katika wimbi hili la Sasa...
 
Ukichunguza sana wanao ishabikia urusi ni walio ishia darasa la.4 au wale ashki majunun hata akiona kuku wawili wanapigana bila sababu anashabikia mmoja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…