mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
ww ndie umekaa kishabiki! Ona ulicho andika!Alikuwa kawachonganisha Iran na Saudia ili wapigane apate kuuza silaha zake, China kafanya juhudi kawapatanisha America kabaki na aibu kubwa na kahuzunika sana kukosa hilo soko kwa silaha zake, sasa hivi anaelekea Ukraine na kishaanza kuimarisha soko kupitia rafiki yake Shoga-Zelensky. Wala hajali ni watu kiasi gani watakufa kwa vita ambayo yawezekana asipatikane mshindi.
Ikumbukwe, na Zelensky anajua hilo fika, kwamba Russia hata piga magoti kwake na kwa NATO/US, never will it happen, kinachokuja kutokea, kwa uingizwaji wa silaha huko Ukraine kutoka Ulaya na Amerika na uingiaji wa wanajeshi mamluki kutoka Ulaya, huo ni mwanzo wa vita kuu ya lll ya dunia, Russia kisha peleka makombora ya Nuclear huko Belarus na anatarajia kumpa Kiduku makombora iwapo Korea kaskazini itapeleka silaha huko Ukraine, hapo ndipo utakapoona jinsi vita inavyotaka kusambaa.
Inatakiwa viongozi wenye busara (prominent leaders) kutoka Ulaya, Afrika, Marekani ya kusini, Asia waungane waunde majopo mawili yatakayokaa kuandaa mpango wa amani waombe kusimamisha mapigano halafu jopo moja liende Ukraine na jingine lienda Russia kupeleka mapendekezo ya amani, njia hii ndio iliyosalia kwani UN ni umoja wa kishenzi na umeshindwa kazi.
Vita vya dunia vitakuwa na athari mbaya sana kwetu sisi Wa africa ambao mahitaji yetu muhimu [mikopo, misaada, madawa, mafuta, malighafi nk] hutegemea huko nje.
Huyo MK254 kakaa kishabiki zaidi kuliko kuangalia tatizo hilo katika picha hii.
Awachonganishe kwa Maana wana akili za kushikiwa na kuvukia barabarani...
Au waohawana ubavu wa kuchonganisa??