Haya madubwana yapokewa Ukraine huku maandalizi ya spring counteroffensive yakiendelea

waarabu wana dam ya kubaguana siku zote

Wacha wawe na hiyo damu, lakini anapotokea mtu akatumia hiyo loop hole kuzidisha chuki miongoni mwao tumueleweje huyo mtu ??
 
Duh we jamaa unawaza ushoga unapakuliwa nn ?

1--Kwanini unaingilia ugomvi usiokuhusu??!
2--- kama hujui Zelensky ni shoga na hilo halina ubishi.
3--- Huyo ndugu niliyemjibu ambaye wewe umejitia kuwa mtetezi wake wa hiyari kanitukana kwa kuniita "Jihadist" na amesema niende Russia kumsaidia Putin kwa kujilipua mabomu.
4--- Na mimi ndipo nikarudisha matusi yake kwamba naye aende Ukraine kumsaidia Shoga mwenziye Zelensky.
5--- Hapo kosa langu lipo wapi hadi na wewe kufika kunitukana??
6--- Zingatia haya:-(a) Usipende kuingilia ugomvi usiokuhusu, (b) Kama ni lazima kuingilia ugomvi basi yakupasa upeleleze kiini cha ugomvi ili uwe msuluhishi.
7--- Kwakuwa umenitukana ningeweza kukujibu matusi lakini nimegundua wewe ni hamnazo hivyo nimekusamehe bure. A free of charge pardon, ila siku nyingine usirudie.
 
nsamehe mkuu kama mna ugomv wenu
 
Wacha wawe na hiyo damu, lakini anapotokea mtu akatumia hiyo loop hole kuzidisha chuki miongoni mwao tumueleweje huyo mtu ??
kosa bado la nyiny mnaokaribisha mtu kuwafarakanisha , pendaneni na muwe wamoja hakuna mtu atawagombanisha
 
kosa bado la nyiny mnaokaribisha mtu kuwafarakanisha , pendaneni na muwe wamoja hakuna mtu atawagombanisha

Hivi nikuulize; mbwa akimg'ata mtu ni nani atasimama mahakamani kati ya mbwa na mwenye mbwa??
 
Hivi nikuulize; mbwa akimg'ata mtu ni nani atasimama mahakamani kati ya mbwa na mwenye mbwa??
mwenye mbwa , ila mwafrika sio mbwa , bali wana utimam sawa na wazungu sema uroho wetu na ubinafs wakutaka tuonekane bora dhidi ya waafrika wenzetu ndo tunaishia kuuza utu wetu ili tupate msaada , so bado mwafrika atabeba lawama zote kwa yanayoendelea afrika
 
Mkuu naona unauwelewa mdogo sana sikiliza walau hii tu
 
Attachments

  • VID-20230421-WA0016.mp4
    13.3 MB
Wewe ni boga kabisa yaani mtu anaekaribisha adui Yako usimUadhibu labda unazungumzia maisha ya kusadikika ya huko mbinuni
 
Vijana wengi hawana uwezo wa kufuatilia habari.
 
Wewe ni boga kabisa yaani mtu anaekaribisha adui Yako usimUadhibu labda unazungumzia maisha ya kusadikika ya huko mbinuni
Yaani ugombane na jirani yako kisa anayo urafiki na mtu usiyeelewana nae!!! Wewe ndiye bogas kabisa.
 
Hapo kwenye Ku destroy Ukraen army Mrusi kachemka
 
Hao magaidi waarabu Iraq, Syria, Libya wafe tu.... ila kwa Vietnam USA alichemsha kama ambavyo Urusi amechemsha pale Ukraine, kilichomkuta ndio kinawakuta Warusi.
Urusi kuwatwanga ukrein ni sawa sababu dunia hi ni survival for fitest.
Ukimakinika utaona UN nao ni sawa na ccm bongo haina usawa.move ya BRICS imefika NUSU bado nusu nyingine ili dunia ikae sawa...
 
Haya na mawazo ya mwanaume uko vizur mkuu
 
Swadakta
 
Urusi kuwatwanga ukrein ni sawa sababu dunia hi ni survival for fitest.
Ukimakinika utaona UN nao ni sawa na ccm bongo haina usawa.move ya BRICS imefika NUSU bado nusu nyingine ili dunia ikae sawa...

Urusi kaingia aibu kubwa sana pale Ukraine, amesababisha dunia tumebaki pabaya kwa kuwa na mbabe mmoja Marekani, tulikua vizuri pale tulidhani tuna wababe wawili.
 
Tuombe Mungu hii vita imalizike salama maana imeleta madhara makubwa sana kwa binadamu. Shida ni kwamba Mrusi siku zote hawezi kukubali kushindwa. Kumbuka kuwa anatawala ki dictator na watu wake kufa kwake siyo shida,
Shida ni kufa mtawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…