Haya Madude naweza kuyapata Mwanza?

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Watu wa Mwanza haya madubwasha nitayapata Kwa dealer yupi hata kama ni used?
 

Attachments

  • FB_IMG_1734510545050.jpg
    97.7 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1734500883093.jpg
    81.4 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1734500570403.jpg
    99 KB · Views: 6
  • FB_IMG_1734500441951.jpg
    67 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1734463344949.jpg
    80.9 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1734463101949.jpg
    80.8 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1734462990221.jpg
    60.2 KB · Views: 3
Niliona miamba miwili inayo imepangana Kahama-Tinde Road, madude yanatisha sana kwa muungurumo wake na kwenye kona zile circular jamaa walikuwa wanalala nayo kinyama sana.

Kuna mwamba mmoja kwenye uzi wa madude kama alisema wenye crown, ist and co wanapisha, siku nilimkumbuka na kuamini maneno yake japo inaweza isiwe kiuhalisia kivile ila akisikia na kuona hilo dude lazima atulie upande wake ili dude lipite.

Tatizo bei tu.
 
Hizo Kawasaki na hizo Ducati zina compete na gari kama Lambo, GTR Nissan , Ferrari n.k na tena hizo super cars na sports car ziwe na mwendo haswa au imefanyika tuning kwenye engine ...

Crown, subaru hata iwe tuned hazifiati huo moto ... Huo ni moto wa gas ...
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1734514046793.jpg
    44.8 KB · Views: 3
 

Attachments

  • FB_IMG_1734510545050.jpg
    97.7 KB · Views: 4
Nimeenda mara kadhaa kwenye mashindano ya haya madude Silverstone 🇬🇧
Ni balaa kusema la haki huwa napenda sana kuangalia mziki wao huo ila sio mpenzi wa kuyaendesha maana yanatisha hashwa
Kwa mfano Kawasaki H2R Speed zake ni 380km/ saa
Hiyo ni 240 miles/ hr
Yaani ni raha kuziangalia tu
 
Kabisa mkuu, pikipiki zina muonekano aggressive sana, hata upewe bure utaishia kuliuza... Yanaogofya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…