Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili dude itapendeza zaidi uwe na kifua kama cha batista au Shwazniga.
Pikipiki yenye thamani kubwa kwa Africa mpaka sasa ni Afrika twin million 33hapo zinachezea kwenye milioni 800 kwa moja ikiwa mpya
Kuna yule Mganda sijui mwezi fulani hivi walikuwa wanamposti posti sana alikuwa anaendesha aya madubwana kwenye mashindano jamaa limwili limepanda sio powa
Haya maneno sasa
Mzee wa mabasi ya sauli marehemu mwalabhila alimiliki haya madude.Watu wa Mwanza haya madubwasha nitayapata Kwa dealer yupi hata kama ni used?
Mzee wa mabasi ya sauli marehemu mwalabhila alimiliki haya madude.
Hazifiki bei hiyo ila zipo za ghali mpaka $63,000 top japanhapo zinachezea kwenye milioni 800 kwa moja ikiwa mpya
Bei elekezi mkuu
Kuna watu wanaziuza hapa Tanzania. Tembelea motorbikes for sale in Tanzania - CarTanzaniaInategemea brand gani na cc ngapi.Nipe hizo info nikutumie picha na bei
Mwanza ulizia mawe tu.Mwanza watayajulia wapi jamani, mbona uchokozi?!🤣
Haya mashikolo mageni.Mwanza watayajulia wapi jamani, mbona uchokozi?!🤣
Mzee wa mabasi ya sauli marehemu mwalabhila alimiliki haya madude.
Nimeenda mara kadhaa kwenye mashindano ya haya madude Silverstone 🇬🇧
Ni balaa kusema la haki huwa napenda sana kuangalia mziki wao huo ila sio mpenzi wa kuyaendesha maana yanatisha hashwa
Kwa mfano Kawasaki H2R Speed zake ni 380km/ saa
Hiyo ni 240 miles/ hr
Yaani ni raha kuziangalia tu
Sijawah kuyaona ila arusha unaweza kupata
Mwanza sidhani
Mzee hebu zama youtube uone Kawasaki Ninja inashindanishwa na vitu gani. Ni jet na lamborghini sio hivyo vitakataka unavyovitaja eti crown 😀
Hio kawasaki ni jet si pikipiki .. naona hizi machines si kwa beginners au average .. hizi ni kwa ajili ya Pro ...