Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpka biashara hizi umo we kweli dada wa leo leo...ushawahi kaa ile siti ya nyuma halafu lizimuliwe kidogo 😄Mwanza zipo jamani natamani nimtaje aliyonayo..., Kahama ipo moja agizia direct kutolea Japan japo hela yake ndefu.
Hayo madude siyajui kabisa..... Wanaume Wana vitu vya ajabu eti hilo la kuendea kwenye mazoezi ya basketball nilipanda siku moja mpaka tunafika presha ilikua juu hatari!!!! Likilalaaaa napiga yowe mwenyewe anakwambia umeona chuma ya mwanaume hiii.Mpka biashara hizi umo we kweli dada wa leo leo...ushawahi kaa ile siti ya nyuma halafu lizimuliwe kidogokidog
Kuna jamaa mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi
Alikuwa na Suzuki Bandit 1200cc
Basi siku moja nikamwambia hebu nibebe na kuendesha mita 100 tu mpaka paleee
Loo salaleee nilitaka kuruka kwa speed alioondoka nayo
Nilikoma sintapanda tena
Labda Vespa 😄
Hili dude itapendeza zaidi uwe na kifua kama cha batista au Shwazniga.
Mwanza zipo jamani natamani nimtaje aliyonayo..., Kahama ipo moja agizia direct kutolea Japan japo hela yake ndefu.
Mwanza watayajulia wapi jamani, mbona uchokozi?!🤣
hapo zinachezea kwenye milioni 800 kwa moja ikiwa mpya
Nimeenda mara kadhaa kwenye mashindano ya haya madude Silverstone 🇬🇧
Ni balaa kusema la haki huwa napenda sana kuangalia mziki wao huo ila sio mpenzi wa kuyaendesha maana yanatisha hashwa
Kwa mfano Kawasaki H2R Speed zake ni 380km/ saa
Hiyo ni 240 miles/ hr
Yaani ni raha kuziangalia tu
Hayo madude siyajui kabisa..... Wanaume Wana vitu vya ajabu eti hilo la kuendea kwenye mazoezi ya basketball nilipanda siku moja mpaka tunafika presha ilikua juu hatari!!!! Likilalaaaa napiga yowe mwenyewe anakwambia umeona chuma ya mwanaume hiii.
Sio kweli mkuuPikipiki yenye thamani kubwa kwa Africa mpaka sasa ni Afrika twin million 33
I matapeli mkuuKuna jamaa wanajiita pikipiki za mtumba jf, wanadai wapo arusha, sijui kama ni wa kweli ama ni matapeli..
Wana vyuma vizuri na bei rafiki sana
Umeniokoa mkuu.Wengi wao n
I matapeli mkuu
Umeniokoa mkuu.
Nimeenda mara kadhaa kwenye mashindano ya haya madude Silverstone 🇬🇧
Ni balaa kusema la haki huwa napenda sana kuangalia mziki wao huo ila sio mpenzi wa kuyaendesha maana yanatisha hashwa
Kwa mfano Kawasaki H2R Speed zake ni 380km/ saa
Hiyo ni 240 miles/ hr
Yaani ni raha kuziangalia tu
...Nimeiona kama Ducati ? Hayo madude ya bei mbaya Sana, Hata Dar kwenyewe hayapo !...Watu wa Mwanza haya madubwasha nitayapata Kwa dealer yupi hata kama ni used?