Love Nuru
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 758
- 1,194
Nilikuwanayo mawili. Siku moja nikachukua moja Mwanza to Songea, kijiji fulani kinaitwa Mpepai. Nilitoka Mkuyuni, Mwanza saa 2:00 asubuhi, saa 7:07 mchana, siku hiyohiyo nilikuwa Mpepai Songea sometimes iko Mbinga. Wakati naondoka Mkuyuni pale watu walikuwa wamekusanyika barabarani, wananishangilia. Nilivyofika Mpepai, Songea, watu wote/wanakijiji walisujudu wakajua mimi ndiye ajaye. Nikawaambia 'acheni ujinga', nikawaambia wachangie hela ya mafuta, wakanichangia kama milioni sita. Ulikuwa ni msimu wa mavuno, nikasepa. Nilifika Mkuyuni saa 12:08 jioni siku hiyohiyyo.