Haya Madude naweza kuyapata Mwanza?

Kuna jamaa mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi
Alikuwa na Suzuki Bandit 1200cc
Basi siku moja nikamwambia hebu nibebe na kuendesha mita 100 tu mpaka paleee
Loo salaleee nilitaka kuruka kwa speed alioondoka nayo
Nilikoma sintapanda tena
Labda Vespa πŸ˜„
 
Mzee hebu zama youtube uone Kawasaki Ninja inashindanishwa na vitu gani. Ni jet na lamborghini sio hivyo vitakataka unavyovitaja eti crown πŸ˜€
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1734522166157.jpg
    72.9 KB · Views: 1
Mkuu huu ni ulevi wangu tatizo pa kuyapata
 
Hayo madude, nilishayaona sana Tanga yakiendeshwa na Kuna jamaa nawafahamu wanayo Yard tu yametulia, watoto Fulani hivi watz wenye asili ya Asia. Sikuwahi kuwauliza lakini nadhani waliagiza nje Kwa ndugu zao. Hayo madude sishauri mtu ayaparamie kuyaendesha kama kichwa chake hakipo vizuri, ni kama unapaa Sasa na bangi za sisi vijana unapasua kichwa, ni Bora kuanza nalo Kwa tahadhari.
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1734543099063.jpg
    89 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…