Kwa barabara ipi?Nilikuwanayo mawili. Siku moja nikachukua moja Mwanza to Songea, kijiji fulani kinaitwa Mpepai. Nilitoka Mkuyuni, Mwanza saa 2:00 asubuhi, saa 7:07 mchana, siku hiyohiyo nilikuwa Mpepai Songea sometimes iko Mbinga. Wakati naondoka Mkuyuni pale watu walikuwa wamekusanyika barabarani, wananishangilia. Nilivyofika Mpepai, Songea, watu wote/wanakijiji walisujudu wakajua mimi ndiye ajaye. Nikawaambia 'acheni ujinga', nikawaambia wachangie hela ya mafuta, wakanichangia kama milioni sita. Ulikuwa ni msimu wa mavuno, nikasepa. Nilifika Mkuyuni saa 12:08 jioni siku hiyohiyyo.
Haiwezekani hata.Nilikuwanayo mawili. Siku moja nikachukua moja Mwanza to Songea, kijiji fulani kinaitwa Mpepai. Nilitoka Mkuyuni, Mwanza saa 2:00 asubuhi, saa 7:07 mchana, siku hiyohiyo nilikuwa Mpepai Songea sometimes iko Mbinga. Wakati naondoka Mkuyuni pale watu walikuwa wamekusanyika barabarani, wananishangilia. Nilivyofika Mpepai, Songea, watu wote/wanakijiji walisujudu wakajua mimi ndiye ajaye. Nikawaambia 'acheni ujinga', nikawaambia wachangie hela ya mafuta, wakanichangia kama milioni sita. Ulikuwa ni msimu wa mavuno, nikasepa. Nilifika Mkuyuni saa 12:08 jioni siku hiyohiyyo.
Ducati naona inakimbiza sana...Nimeiona kama Ducati ? Hayo madude ya bei mbaya Sana, Hata Dar kwenyewe hayapo !...
Hayo madude siyajui kabisa..... Wanaume Wana vitu vya ajabu eti hilo la kuendea kwenye mazoezi ya basketball nilipanda siku moja mpaka tunafika presha ilikua juu hatari!!!! Likilalaaaa napiga yowe mwenyewe anakwambia umeona chuma ya mwanaume hiii.
Mzee hio pikipiki ya mwisho nimenyoosha mikono, nimeangalia nikaona radiator kwa nyuma naona engine ni 3 cylinders, nikasema ngoja nifuatilie ..Hizo zimekaa kimama mama ikianguka hizo plastic zote zinapasukapasuka.
Chukua vyuma kama hivi
View attachment 3179442
View attachment 3179443
Hii chuma unakaa umerelax ukuanguka au kutereza kwenye kona barabara ya vumbi unakuwa umejitakia mwenyewe
View attachment 3179444
Matrafiki nilikuwa nawapa hela ya kubrashia viatu, wananiachia niendelee na speed matata.Kwa barabara ipi?
Tz hakuna barabara ya kuendesha kwa speed hiyo
Ulikuwa nayo mawili.Nilikuwanayo mawili. Siku moja nikachukua moja Mwanza to Songea, kijiji fulani kinaitwa Mpepai. Nilitoka Mkuyuni, Mwanza saa 2:00 asubuhi, saa 7:07 mchana, siku hiyohiyo nilikuwa Mpepai Songea sometimes iko Mbinga. Wakati naondoka Mkuyuni pale watu walikuwa wamekusanyika barabarani, wananishangilia. Nilivyofika Mpepai, Songea, watu wote/wanakijiji walisujudu wakajua mimi ndiye ajaye. Nikawaambia 'acheni ujinga', nikawaambia wachangie hela ya mafuta, wakanichangia kama milioni sita. Ulikuwa ni msimu wa mavuno, nikasepa. Nilifika Mkuyuni saa 12:08 jioni siku hiyohiyyo.
Mzee hio pikipiki ya mwisho nimenyoosha mikono, nimeangalia nikaona radiator kwa nyuma naona engine ni 3 cylinders, nikasema ngoja nifuatilie ..
Naona ina 2500 cc na radiator, pistons 3 na inatumia maji ku cool engine, horsepower ni 165 na torque ya kufa mtu....
Hio naona si pikipiki.... Balaa mzee 2500 cc bongo mtu analia mafuta ..
Hatari sanaSijawah kuyaona ila arusha unaweza kupata
SikupingiSio kweli mkuu