balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Vipi maeneo ya Ruaha,kidatu na soko la mbuziWewe ndio mwenyeji kabisa. Nipo hapa mjini ifakara. Maji kwa sasa yamepungua. Hayo maeneo ulotaja ndio waathirika wakubwa.
Sijawahi shuhudia maji ya hivi.
uuSio mbingu ya Morogoro
Nadandia treni hapo kibaoniMbingu kufika ngumu sana,hiyo ya Morogoro mafuriko yatakubeba na hii ya kidini huwez enda bila kufa
uu
Mh ndo utafika mbingu?Nadandia treni hapo kibaoni
Hujui treni ya tazara inaenda mbinguMh ndo utafika mbingu?
Njia ya mbingu ni nyembamba sana.Mh ndo utafika mbingu?
Ila treni linapitaNjia ya mbingu ni nyembamba sana.
Mbona Imeandikwa kwamba Yesu ni njia ya pekee kufika Mbingu? Kwa hyo treni ndo njia ya kweli ya kuifika mbingu ya huko?Ila treni linapita
Yani mafuriko ni Hatari lo
Ni mimi furahi sasa
Hii ni Kenya, sivyo?
Hii ni Kenya, sivyo?
Tabia za kishirikina toka zako.π€£πππππ€£π€£π€£π€£π€£
Aahahahahahhahaaaaaa nimefurahii sanaaa aiseeh....
Tabia za kishirikina toka zako.π€£
Mashamba yamejaa maji hatari ila kidebe utapata.Niwekee kidebe cha mahindi ya kuchoma nakuja kula, na mchele nitengezee mabumunda...πππππππ
Kula ni uhai....
Hata na fisi unafika wewe tu unavyochaguaMbona Imeandikwa kwamba Yesu ni njia ya pekee kufika Mbingu? Kwa hyo treni ndo njia ya kweli ya kuifika mbingu ya huko?
Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji.
Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
View attachment 2973379Nashauri Kila kaya inunue mitumbwi
Mashamba yamejaa maji hatari ila kidebe utapata.
Kulana ni uhai kwakweli hujakosea π€£