Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Vijana mnapenda kuhoji sana. Kwa kifupi tu, hizo ni gari za Idarani (political desk) pale TISS.Kwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mpya ya kuanzia 2022 yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu.
Haya magari ni mali ya nani? Polisi wanayaogopa hayasimamishwi wala kukaguliwa. Vijana wa vijiweni wanasema eti ni mali ya Usalama wa Taifa.
Hivi wahalifu si wanaweza kutumia mwanya huo kusafirisha silaha, madawa ya kulevya, magaidi n.k?
Kama lengo ni kutumia namba za kawaida wangeweza kutumia namba za mpya halali zinazoendana na magari. Yaani unakuta gari ya 2023 na ABZ!!Vijana mnapenda kuhoji sana. Kwa kifupi tu, hizo ni gari za Idarani (political desk) pale TISS.
UNAJUA, shida ya hii idara yetu inafanya mambo kizamani sana hadi inaleta taharuki. Juzi nikamuuliza mwanangu yuko huko, akanijibu eti sababu kubwa hakuna, kwamba eti wameamua kutumia number plate za yale magari ya zamani ya raia ambayo pengine kwa sasa hayatumiki!
Hii idara ina viongozi wa hovyo sana.
Sio lazma idara Kuna ofisi kibao nazijua zilikua zinatumia hizi namba mpk awamu ya Magu ndo ofisi nyingi zikaambiwa ziweke either SU, STL au DFP.Vijana mnapenda kuhoji sana. Kwa kifupi tu, hizo ni gari za Idarani (political desk) pale TISS.
UNAJUA, shida ya hii idara yetu inafanya mambo kizamani sana hadi inaleta taharuki. Juzi nikamuuliza mwanangu yuko huko, akanijibu eti sababu kubwa hakuna, kwamba eti wameamua kutumia number plate za yale magari ya zamani ya raia ambayo pengine kwa sasa hayatumiki!
Hii idara ina viongozi wa hovyo sana.
Saguda de 47 mtu wangu wa nguvu.Hayo magari ya serikali hasa TISS Wana plate number zaidi ya 2 kwenye gari moja. Utakuta Leo inasomeka T.... Kesho DFPA, Keshokutwa STL/STL.
Walikuwa jela kwa makosa ya kuwatia mimba wanafunzi si unajua tena zamani kuna wale mafataki, sasa baada ya kutoka wakabadilisha body za magari yao 😎
Duh, hatari sana.Hayo magari ya serikali hasa TISS Wana plate number zaidi ya 2 kwenye gari moja.
Utakuta Leo inasomeka T.... Kesho DFPA, Keshokutwa STL/STL.
Kwani hawa jamaa hawana 'front companies' na zile IDs za kazi, kwamba magari yao yasajiliwe kihalali kama mali ya hizo kampuni zao 'binafsi' au kwa kutumia IDs za kazi za watu wao?Sio lazma idara Kuna ofisi kibao nazijua zilikua zinatumia hizi namba mpk awamu ya Magu ndo ofisi nyingi zikaambiwa ziweke either SU, STL au DFP.
hivi usalama wa Taifa akiwa rafiki yako anaweza akakupa na stori za kazini kwake?Vijana mnapenda kuhoji sana. Kwa kifupi tu, hizo ni gari za Idarani (political desk) pale TISS.
UNAJUA, shida ya hii idara yetu inafanya mambo kizamani sana hadi inaleta taharuki. Juzi nikamuuliza mwanangu yuko huko, akanijibu eti sababu kubwa hakuna, kwamba eti wameamua kutumia number plate za yale magari ya zamani ya raia ambayo pengine kwa sasa hayatumiki!
Hii idara ina viongozi wa hovyo sana.
Ewaaa, kama haya, alafu namba hizo wana slide tu hapo kuweka na kutoa, hazigungwi kabisa.
Kuna magari yameuzwa chasis namba......manake usajili wa gari ya zamani upo TRA[emoji28][emoji28]jana somewhere nme ona lexux LX 600 plate no A nika baki kuwaza hii chuma ime kuaje tena
Duh!Kuna magari yameuzwa chasis namba......manake usajili wa gari ya zamani upo TRA
Lkn wahuni wanaingiza gari mpya kwa namba ya zamani. Hasa zinazopitia kimagendo Mozambique
Ni siri sababu hawavai unifomu rasmi. Ila mwenyewe anaweza akakwambia.au kuambiwa na watu wake wa karibu. Ila wanajulikanahivi usalama wa Taifa akiwa rafiki yako anaweza akakupa na stori za kazini kwake?
Ile dhana ya usalama wa Taifa ni siri ina ukweli kiasi gani mkuu?