Wengine Wana magari mengi nyumbani .Mtu unskuta ana magari 10 aina tofauti aweza ingia na hili akatoka na hili au lingine anatumia mara chache tu special occasion sio ajabu kukuta gari jipya lenye plate number inaanzia na A sababu halitumiki sana.Lakini.pia beware Kuna wTubhayo magari hiyafanyia tefubrication na kupaka rangi mpya baada ya muda Fulani linatoka gereji kama jipya Kabisa .ukikutana nalo.barabarani waweza Dhani jipya Wenginhuyarudisha upya sababu ni magari vigumu mno kuyauza ukilichoka.Kupata mnunuzi vigumu ndio wengine hulifanyia hivyo lionekane kama jipya liuzike[emoji28][emoji28]jana somewhere nme ona lexux LX 600 plate no A nika baki kuwaza hii chuma ime kuaje tena