Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Usalama wa Taifa zamani sio zama hizi.hivi usalama wa Taifa akiwa rafiki yako anaweza akakupa na stori za kazini kwake?
Ile dhana ya usalama wa Taifa ni siri ina ukweli kiasi gani mkuu?
Mimi nawajua 3. Mmoja yuko ubalozini nje ya nchi kwa contract ya miaka kadhaa, wawili wako hapa nyumbani. Yani tunapiga stori nyingi sana mkuu, ni vile nimetoka nao mbali.
Niliwahi kukamatwa barabara ya Sam Nujoma nikiwa tungi asubuhi, nikamtukana traffic, wakanipeleka kituoni, nikampigia huyo jamaa, aisee mkuu wa kituo ndio akaja kunitoa, nakumbuka aliniuliza, vipi hawajakuumiza? [emoji28]
Kama haitoshi akanipeleka police mess nikanywa na supu kwa bill ya OCS [emoji1]