Cordy bnei shirk
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 331
- 252
Najua nyingi za polisi tz pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha acha majingu hatukuelewi. Subiri miezi mitatu ununue G wagon na Lc 300 Porche, Y63, fortuner 2024 zilizo zama kwenye maji dubai uache chukiKwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mapya ya kuanzia kuanzia miaka ya 2020s yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu.
Haya magari ni mali ya nani? Polisi wanayaogopa hayasimamishwi wala kukaguliwa. Vijana wa vijiweni wanasema eti ni mali ya Usalama wa Taifa.
Hivi wahalifu si wanaweza kutumia mwanya huo kusafirisha silaha, madawa ya kulevya, magaidi n.k?
Lc 600 ndo ikoje masta[emoji28][emoji28]jana somewhere nme ona lexux LX 600 plate no A nika baki kuwaza hii chuma ime kuaje tena
Ndio ukweli.yaani mimi mwenyewe nashangaa sasa huo u secret service unatoka wapi? Sababu hwavai unifrom au n vp? Sema mwisho wasiku kila mtu anaweza akaleta storii yake kuchangamsha genge.
Sasa asipokupa si utamchukulia poa mkuu?hivi usalama wa Taifa akiwa rafiki yako anaweza akakupa na stori za kazini kwake?
Ile dhana ya usalama wa Taifa ni siri ina ukweli kiasi gani mkuu?
Ni informer hao. Sio TISS.Sasa asipokupa si utamchukulia poa mkuu?
Lazima akupe, na wengine wakipigiwa simu ya kazini anaweka loud speaker ili mjue siyo mwenzenu.
Nchi haina ujinga.Ujinga wa nchi yetu, polisi hatakiwi kuogopa kuwashika. Awashike wajieleze kuwa wao ni Tiss.
Ila kuna hii ya kufanya update ya toyota LC nayo unaweza shtuka hii namba A ukichukua kadi gari ya zamani bodi mpya.
Hii ilikuwa inafnywa haswa na wamiliki wa magari ya mizigo [ fuso] mkoa x ila sasa hivi wameacha magari hayauzikiKuna magari yameuzwa chasis namba......manake usajili wa gari ya zamani upo TRA
Lkn wahuni wanaingiza gari mpya kwa namba ya zamani. Hasa zinazopitia kimagendo Mozambique
Lc 600 ndo ikoje masta
Nafikiri neno feki sio sahihi bali special numbersWenye kutumia namba feki hapa bongo ni polisi. Kikosi maalum.
Gari rasmi za kiofisi za TISS zina namba og
Gari za matukio ndio hupewa namba feki
Kuna Fake kwa maana nyingi huwa haziko kwenye system yoyote hapa tz.Nafikiri neno feki sio sahihi bali special numbers
Ila kama nchi kama nchi ndio wameamua iwe hivyo sawa
Ila naona ni kama kuji exposed kirahisi kwa mtu yeyote
Hata criminals wakiona namba tofauti mbele ya nyumba zao mbona wanakimbia kabisa
Nimekuelewa bossKuna Fake kwa maana nyingi huwa haziko kwenye system yoyote hapa tz.
Halafu kuna special numbers ambazo ziko kwenye system ila zinatumiwa kimakosa.
Mhhh!Ndio ukweli.
Utakuta mtu anafahamiana na informer, anakuja kusema ni TISS yule. Kazi ya informer inaishia kutoa taarifa tu, hajui lolote kuhusu TISS. Na ma informer ndio wanatafuta sifa ssna kutambulika. TISS huwezi mgundua kwa mwonekano wala maongezi. Ni kitu inafundishwa kabisa chuoni
Ni magari ya viongozi au wafanya biasharaKwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mapya ya kuanzia kuanzia miaka ya 2020s yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu.
Haya magari ni mali ya nani? Polisi wanayaogopa hayasimamishwi wala kukaguliwa. Vijana wa vijiweni wanasema eti ni mali ya Usalama wa Taifa.
Hivi wahalifu si wanaweza kutumia mwanya huo kusafirisha silaha, madawa ya kulevya, magaidi n.k?
Jus’ wondering. Huku ni kujificha au kujitangaza rasmi?!!!🤔
Usikariri mambo TISS ya Enzi za Nyerere na sasa hivi Kuna utofauti mkubwa sana katika Swala la maadili ya utumishi Hadi uzalendoNi informer hao. Sio TISS.
Chuoni kitu cha kwanza kukutambulisha kama umeiva ni kuweza kutunza siri na kutojulikana.
Huwa kuna wahitimu wanaenda kufanya field kwenye kambi za jeshi. Wakikamatwa nanasurubiwa hasa ila hawatoi siri, mwishoe wanapelekwa polisi na huko wanaomba kuongea na ndugu zao kutoa taarifa,.................
DUUH T 822 BWJ
Nadharia iko kama unavyosema.Usikariri mambo TISS ya Enzi za Nyerere na sasa hivi Kuna utofauti mkubwa sana katika Swala la maadili ya utumishi Hadi uzalendo
Kuna mess up zilifanyika katika recruitment hasa kuchomekana ndugu na hii inapelekea watu walioko kwenye hiyo idara kutokuwa waadilifu na kutoa Siri...matukio mangapi ya ikulu yanavujishwa na watumishi hao hao wa TISS wasio na maadili? Kwani polisi ushenzi wanaofanya chuoni hawajaenda huko CCP? Tena walikuwa wanakaa miezi 9 now imekuwa 12 lakini Bado wanaongoza Kwa ushenzi sembuse hao TISS wenye short course
TISS kibao wapo wanaotoa Siri na hii ni kutokuwa na vijana au watu wasiojielewa ambapo imetokana na kuchomekana ndugu kwenye taasisi nyeti
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app