Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

ni kweli nina uchungu waTanzania wenzangu bado mu wajinga na wavivu na mtanyooshwa sana.

lakini sio kweli kua mimi ni fukara hapana. Nipe namba ya mkeo atakusimulia jinsi mimi sio fukara wa kipato, rasilimali na hata manii zipo za
Ww utakua shoga, kuna uzi kule juu ulisema wanawake wote lazima wawe na michepuko na ukajitolea mfano ww kwamba umemsaliti mumeo mara 2 sijui huko sasahv unasema una manii. Nyie ndo dudubaya anawatafuta
 
ni kweli nina uchungu waTanzania wenzangu bado mu wajinga na wavivu na mtanyooshwa sana.

lakini sio kweli kua mimi ni fukara hapana. Nipe namba ya mkeo atakusimulia jinsi mimi sio fukara wa kipato, rasilimali na hata manii zipo za kumjaza kopo lake.
Nilisubili nione jibu lako,nilipoona limekaa kingono ngono, nikajua ni wale wale, sizitaki mbichi hizi, give a dog a bad name and kill it!
Huna kitu, miaka ya, 90 kuna benk ya kigeni melidian biao bank, ilifirisika, na wamiriki wakakimbia, je watu waache kuwekeza Equity, Absa,Azania, kisa benk za nje zinaweza kufirisika? Acha ujinga,
 
Watu ambao wanatoa Mtazamo hasi kuhusu masuala ya investments wanakua hawana hela ya kuwekeza,ambao wana hela na hawataki kuwekeza they are not bitter,huwa wanasema why uwekezaji haulipi,..
 
Kuna watu wana mihemko sijawahi ona duuh
 
We bwana mdogo ni mpumbavu sana. Sehem gani yakuweka pesa ambayo haina risk? Bank zenyewe zinafilisika , nchi yenyewe inavunjika , biashara zenyewe zinakufa wewe mwenyewe ni risk kwanza ninani aliyekopa pesa akaweka UTT ? Kama yupo huyo mtu ni mpumbavu kama wewe. Halafu hakuna mahali UTT wanaweza kukutajirisha yani 12% kwa mwaka ikutajirishe? Yani uweke bilion moja upokee milion 10 kwa mwezi useme umetajirika? Sidhani kama.kuna mtu mwenye lengo la kutajirika anayeweka pesa UTT hizo ni sehemu za kutunza fedha na wala.sio sehemu yakutafuta utajiri . Pia nitoe wito kwa wanajukwaa kusomemesha watoto wao shule ili kuepusha mbuzi kama.hizi jukwaani
 

Trna wasomeshe shule zinazo jielewa, sio kama aliyo soma mtoa mada hapo juu.
 
Mtu anaweka 1Million UTT anapata laki 1 kwa mwaka ili kurudisha investment aliyoiweka itamgharimu miaka 10 ndio unapata hiyo million yake huoni huu ni ujinga?
 
UTT naona ni kupoteza muda mfano ukaweka million 10 maana yake kwa mwaka unapata million 1 kwa mwaka na kwa kila mwezi ni laki 1 itakuchukua miaka 10 kurudisha kiasi ulichoweka kwa akili timamu wewe unaona imekaa vizuri? Si Bora hata ukainvest kwenye kununua Real Estate
 
Ndugu mea sasa hapa mbona unazidi kuleta taharuki baada ya kuweka mambo sawa.Nchi inavunjika?kivipi hili linakuwa?kwahiyo unataka kusema passport yangu ikae mfuko wa shati sio?
 
Kwa nini usingetoa Elimu hii kwa Lugha ya upole Ili tuelewe vizuri.
Hisa-Mahisa.
Nimepata shida sana kuelewa.
Yaani iko hivi kwenye UTT huwa wanatoa 1% kila mwisho wa mwezi kwenye hela ulioinvest mfano ukiweka mil 10, kwa mwezi unapata laki 1 kwa mwaka inakua mil 1 kwa maana nyingine itakuchukua miaka 10 kurudisha kiasi cha fedha ulioinvest Tunahita kitaaluma PAYBACK PERIOD wewe unavyoona hapo imekaa sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…