lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Yupo sahii kwa baadhi ya vitu alivyosema,na upo sahii pia ila Kuna mambo mnachanganya,Jatu,Desi,tofauti na UTT au bonds za serikali,UTT ipo backed na Serikali..Kweli lugha yake kali kidogo.
Lakini jibu la swali lako siyo salama kivipi ameshajibu.
Amekuambia nchi zetu hizi za hovyo watawala wanaweza kutoa tamko au maagizo ghafla pesa zenu zikapelekwa kufanya jambo lingine kisha ikawachukua miaka mingi mno kuja kulipwa au msilipwe kabisa.
Ushahidi, JATU, DESI, wastaafu wa EA Community, n.k.
Sijui bank ya wanawake pesa za wateja zimeishia wapi?! Wale ambao Amana zao zilizidi kiwango cha 1.5M.
Mfano mwingine Samia Infrastructure Bond wateja waliokuwa wamewekeza wakitegemea wataanza kutoa (withdraw coupon) faida yao ya quarterly wengine walishindwa kulipa ada za watoto baada ya malipo kucheleweshewa. Sijui walianza kulipwa lini.
Malipo ya kwanza yalipaswa kufanyika 10 Mei 2025, yaani takribani miezi 3 baada ya bond kuanza. Najua yalicheleweshwa ingawa CRDB au Serikali hawakutoa taarifa rasmi hadharani (public).
Samia Infrastructure Bond haipo backed na serikali?Yupo sahii kwa baadhi ya vitu alivyosema,na upo sahii pia ila Kuna mambo mnachanganya,Jatu,Desi,tofauti na UTT au bonds za serikali,UTT ipo backed na Serikali..
Naelewa concern yako but unashindwa kuelewa ninasema nini,as I said risk sio jambo ambalo unaweza kukwepa ila kuna taasisi zishathibitika kua SALAMA so tunasema atleast(low risk)Samia Infrastructure Bond haipo backed na serikali?
Kwanini hawakulipwa watu coupon zao kwa wakati za baada ya miezi mitatu kama mkataba waliowekeana saini wakati wa uwekezaji wa hizo bond?
Sio mtaalamu wa uchumi ila kuna kitu hukifahamu.Yaani iko hivi kwenye UTT huwa wanatoa 1% kila mwisho wa mwezi kwenye hela ulioinvest mfano ukiweka mil 10, kwa mwezi unapata laki 1 kwa mwaka inakua mil 1 kwa maana nyingine itakuchukua miaka 10 kurudisha kiasi cha fedha ulioinvest Tunahita kitaaluma PAYBACK PERIOD wewe unavyoona hapo imekaa sawa?
Kuna mahali palikuwa salama kama mifuko ya hifadhi za kijamii?Naelewa concern yako but unashindwa kuelewa ninasema nini,as I said risk sio jambo ambalo unaweza kukwepa ila kuna taasisi zishathibitika kua SALAMA so tunasema atleast(low risk)
Wekeza katika taasisi ambazo ni highly trusted institutions..
Usimsingizie magufuli kabisa hata hujui kwa nn alichukua fedha za wabadilisha fedha walikuwa wanatakatisha fedha ni kama hosptala nje vibanda vya kuuza dawa kibao halaf dokta anakuagiza mahali pa kununua dawa zile dawa wanaiba za serikali halaf wanauza ujinga mtupu,wafanyakazi wa bot ndio wengi walifungua bureau exchange pesa ilikuwa inashuka sana thamani iibidi iwe vile tu na kipindi cha mzee Magu pesa ilisimama vzuri kwa kuzuia utakatishaji.Nilishasema haya mahisa, maUTT sijui maBOND ya serikali kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi"
kigezo cha sina muda yanajificha majinga na mamtu mavivu mavivu, sasa unajiuliza kama wewe huna muda NANI ATUMIE MUDA WAKE KUKUTAJIRISHA WEWE ?!!
aise kuna majinga mavivu ya kujishugulisha yatakuja kupigwa tukio hapa SIKU YAJA.
Na wakati huu naona maUTT yamepewa promo kali na manyumbu mengi sana yameiikia wito, majinga mengine mpaka yamekopa kwenye mabenk kwenea "kuwekeza UTT"
Kwa uchache tu mnakumbuka nyakati fulani mwendazake alivamia mabenk na kuchota fadha za wafanyabiashara, maduka ya kubadili fedha na mengine yalifilisika kabisa mpaka leo MNAKUMBUKA ?!
Sasa kama mtu anaweza kuiamuru benk ichope pesa za watu sembuse kuchota hela mlizoweka UTT ambako mnaweza kupewa sababu za uongo na kweli ?!
Kwa taifa letu ambalo kauli ya mtu mmoja ndio inafuatwa na sio taratibu na taasisi imara mnaweka fedha sijui mabond ya serikali nyie mnaakili kweli ?!!
TATIZO WATANZANIA WENGI NI WAVIVU NA WAJINGA SANAAA.
siku yaja !!
Kuna mambo mengine wala huhitaji kutumia akili. Unakutana na mdude unaoitwa ''Samia Infrastructure Bond'' halafu unaambiwa uwekeze fedha na wewe unawekeza.... Kwa wajinga kama hawa, basi yawakute na wanastahili. Mtu mwenyewe unaona kabisa anavyotumia uhuni na utapeli kuendesha serikali halafu unamwamwani kwenye mambo ya fedha? Yes, limetumika jina lake tu, lakini wanaolitumia wamepewa ruhusa na hiyo hiyo cabal ya wahuni.Samia Infrastructure Bond haipo backed na serikali?
Kwanini hawakulipwa watu coupon zao kwa wakati za baada ya miezi mitatu kama mkataba waliowekeana saini wakati wa uwekezaji wa hizo bond?