Haya maisha! Kuna watu tunadhani wako bize na maisha, kumbe walishafariki kitambo. Mungu atulinde

Haya maisha! Kuna watu tunadhani wako bize na maisha, kumbe walishafariki kitambo. Mungu atulinde

Hidden Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2024
Posts
260
Reaction score
481
Jana kuna jamaa yangu mmoja tulisoma naye o level nilikutana naye ghafla maeneo ya SOWETO MBEYA tukawa yunajaribu kukumbushana mambo ya shuleni Maana ni muda hatujaonana tangu tumalize shule katika kukumbushana ndo tukawa tunajaribu kuwakumbuka baadhi ya wanafunzi Ile nimemta jamaa mmoja kwamba yule jamaa yupo nakuta jamaa ananiambia mbona mshkaji alishafariki kitambo sana yaani 2020 halafu pia akamtaja mwengine pia kuwa naye alifarki yeye kafarikii na 2021 Daah nilipigwa na ganzi wakuu.

Mungu wetu atulinde tu kwa kweli Maana kuna wenzetu wengi tunajua wanapambana na maisha yao kumbe walishafariki kitambo wengine tumecheza nao udogoni,wengine tumesoma nao na wengine tulikutana nao kwenye mapaano ya ya maisha😔😔😔inauma kwa kweli wakuu
 
Sà atakulindaje utaki kurejea kwake kama washkaji zako?punguza hofu juu ya kitu kamwe huwezi kukizuia hakika Mimi na wewe laZima tutakufa..iwe kwa uamuzi wa kiungu au kishetani
 
Mungu aliyeumba hii Dunia anasema:
"SIJAUMBA MAJINI NA WATU ILA WAJE WANIABUDU"
Sasa wewe Kama unadhani Duniani ndo umefika unapotea,go back to the goal,pull Up your Socks and start fighting for your space In Heaven...
 
Jana kuna jamaa yangu mmoja tulisoma naye o level nilikutana naye ghafla maeneo ya SOWETO MBEYA tukawa yunajaribu kukumbushana mambo ya shuleni Maana ni muda hatujaonana yangu tumalize shule katika kukumbushana ndo tukawa tunajaribu kuwakumbuka baadhi ya wanafunzi Ile nimemta ja mmoja kwamba Yule jamaa yupo nakuta jamaa ananiambia mbona mshkaji alishafariki kitambo Sana yaani 2020 alafu pia akamtaja mwengine pia kuwa naye alifarki yeye kafarikii na 2021 Daah nilipigwa na ganzi wakuu.Mungu wetu atulinde tu kwa kweli Maana kuna wenzetu wengi tunajua wanapambana na maisha yao kumbe walishafariki kitambo wengine tumecheza nao udogoni,wengine tumesoma nao na wengine tulikutana nao kwenye mapaano ya ya maisha😔😔😔inauma kwa kweli wakuu
Bado wewe tu zam yako...kabla ya 2100 utakuwa umekufa hakuna ubishi hapa
 
Heading inaonesha unaenda kuongelea "walking dead" uliyokutana nayo kumbe unasengenya marehemu.
 
Back
Top Bottom