Jana kuna jamaa yangu mmoja tulisoma naye o level nilikutana naye ghafla maeneo ya SOWETO MBEYA tukawa yunajaribu kukumbushana mambo ya shuleni Maana ni muda hatujaonana yangu tumalize shule katika kukumbushana ndo tukawa tunajaribu kuwakumbuka baadhi ya wanafunzi Ile nimemta ja mmoja kwamba Yule jamaa yupo nakuta jamaa ananiambia mbona mshkaji alishafariki kitambo Sana yaani 2020 alafu pia akamtaja mwengine pia kuwa naye alifarki yeye kafarikii na 2021 Daah nilipigwa na ganzi wakuu.Mungu wetu atulinde tu kwa kweli Maana kuna wenzetu wengi tunajua wanapambana na maisha yao kumbe walishafariki kitambo wengine tumecheza nao udogoni,wengine tumesoma nao na wengine tulikutana nao kwenye mapaano ya ya maisha😔😔😔inauma kwa kweli wakuu