Haya maisha yanapotea kwa kasi. Kuna wakati yatabaki kwenye vitabu vya simulizi tuu

Haya maisha yanapotea kwa kasi. Kuna wakati yatabaki kwenye vitabu vya simulizi tuu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaa😀
 
Unaweza kula Kwa jirani na familia ikapenda tu

Unaweza azima kitu panga ,jembe hata chombo cha usafiri, kurudisha mpaka utake mwenyewe.

Yafanye haya kwenye jiji la Alberto kama urafiki haujakufa
 
Natural cement na hakuna fundi wa kukupiga hela huku
FB_IMG_1741290275331.jpg
 
Kila
FB_IMG_1741290296680.jpg
mmoja ana majukumu yake. Hakuna mikokoteni ya kuuza maji huku
 
Back
Top Bottom