Haya maisha yanapotea kwa kasi. Kuna wakati yatabaki kwenye vitabu vya simulizi tuu

Haya maisha yanapotea kwa kasi. Kuna wakati yatabaki kwenye vitabu vya simulizi tuu

Hata Dar es salaam nakumbuka mwaka 1980 ilikuwa ukienda mjini unakutana na watu karibu wote unawajua.

Huyu unasoma naye shule. Huyu unaenda naye kanisani. Huyu umecheza naye mpira.

Wachache sana wanakuwa watu huwajui kabisa.

Leo vurugumechi hata nani mkazi nani mpazi hujui.

Leo vurugumechi hata nani mkazi nani mpazi hujui.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
View attachment 3262963
We jichanganye na kandambili zako za umoja, sijui Bora sijui bata. Unakuta watu tushachonga matairi
Hii ukienda nalo dukani lazma differential izingue, ikizingua ina maana unalitengeneza hapo kuchelewa kurudi, kuchelewa kwako kurudi mpaka kuni zimeisha wakisubiri unga kipigo chake mnakijua ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Kwanini๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿค”
uzuri wake unatokana na memories tuu lakini imagine kuchunga kulima na ngombe kukata kuni vs saivi kulima na tractor kupikia gas umeme nk
mim naona saiv maisha ni mazuri sana kuliko zamani
 
IMG-20250306-WA0122.jpg
 
Back
Top Bottom