Haya maisha yanapotea kwa kasi. Kuna wakati yatabaki kwenye vitabu vya simulizi tuu

Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaa😀
Marangu kabisa hii, ukija mgeni unajulikana, ugomvi hakuna mnaheshimiana
 
FB_IMG_1741290306868.jpg

Kuoga na kufua.. Kuna upande wa wanawake na kuna upande wa wanaume.. Hakuna kuingiliana wala kuchunguliana.. Japo kuna wakati vijana wa kiume wanazingua😂
FB_IMG_1741290306868.jpg
 
Huwa nashangaa jamaa anapita anakuta mnafanya kazi fulani nae anapita anajiunga na nyinyi anapiga baadae ndo anasepa
 
Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaa😀
mfano mubashara ccm kukimbia na boksi wapigia kula huku polisi anasindikiza.
mfano mwengine wasiojulikana kuwa cheo mpaka sasa wanatajwa na wanazidi kupewa fursa.
 
Kapicha ka kusukumia habari nzuri kama hiyo, huna, kikore?
 
mfano mubashara ccm kukimbia na boksi wapigia kula huku polisi anasindikiza.
mfano mwengine wasiojulikana kuwa cheo mpaka sasa wanatajwa na wanazidi kupewa fursa.
😭😭😭😭😭
 
Madogo under 7 wanapiga kazi kiroho safi kabisa
Little boy adjusting it along the way_  ©2009 Rand.jpeg
 
Ukisikia mtu anakwambia nilikuwa na rafiki yangu wa utotoni.. Hawa ndio wale marafiki wa kweli
dcddbf84-1cf6-474c-8de7-0541190b71f3.jpeg
 
Back
Top Bottom