Haya maisha yanapotea kwa kasi. Kuna wakati yatabaki kwenye vitabu vya simulizi tuu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaa๐Ÿ˜€
 
Unaweza kula Kwa jirani na familia ikapenda tu

Unaweza azima kitu panga ,jembe hata chombo cha usafiri, kurudisha mpaka utake mwenyewe.

Yafanye haya kwenye jiji la Alberto kama urafiki haujakufa
 
Kila mmoja ana majukumu yake. Hakuna mikokoteni ya kuuza maji huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ