Marangu kabisa hii, ukija mgeni unajulikana, ugomvi hakuna mnaheshimianaMaisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaaπ
mfano mubashara ccm kukimbia na boksi wapigia kula huku polisi anasindikiza.Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaaπ
Kapicha ka kusukumia habari nzuri kama hiyo, huna, kikore?Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaaπ
Makande? Kweli mjasiri haachi asili.Katakosekanaje kwamfanoView attachment 3262899
Daah,sahivi wanapanga bei balaaNatural cement na hakuna fundi wa kukupiga hela huku
View attachment 3262865