Haya maisha yanapotea kwa kasi. Kuna wakati yatabaki kwenye vitabu vya simulizi tuu


Leo vurugumechi hata nani mkazi nani mpazi hujui.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
View attachment 3262963
We jichanganye na kandambili zako za umoja, sijui Bora sijui bata. Unakuta watu tushachonga matairi
Hii ukienda nalo dukani lazma differential izingue, ikizingua ina maana unalitengeneza hapo kuchelewa kurudi, kuchelewa kwako kurudi mpaka kuni zimeisha wakisubiri unga kipigo chake mnakijua πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
KwaniniπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ€”
uzuri wake unatokana na memories tuu lakini imagine kuchunga kulima na ngombe kukata kuni vs saivi kulima na tractor kupikia gas umeme nk
mim naona saiv maisha ni mazuri sana kuliko zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…