Haya majina ya vitu kwa kiingereza wengi hawafahamu

Kuna mjinga wakati tunakua alitufundisha kupaka dushee afu unaingia mzigoni....aisee dah
Kuna mshikaji aliawahi kuniambia shule 1990 eti demu anafeel something amazing so anakung'ang'ania but sijawahi kujaribu zaidi ya kuitumia kupoza jino
 
Kuguna-
Kusonya-
Kuongea mwenyewe-
Kubeua-

Kuna ile namna ya kukuna sikio linalowasha kama unasonya inaitwaje kwa kiswahili na english-

Kile kitendo kinachotokea unapokuwa unasugua ulimi na kutoa ute mzito kinaitwaje kwa kiswahili na english-
Kuguna- siph
Kuongea mwenyewe- monologue
 
asa apple kwa kiingereza tufaa au tufaa kwa kiingereza ndo apple?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…