Haya majina ya vitu kwa kiingereza wengi hawafahamu

Kuongea bila kufungua mdomo kunaitwaje kwa kiswahili na kiingereza?
 
Kuguna-
Kusonya-
Kuongea mwenyewe-
Kubeua-

Kuna ile namna ya kukuna sikio linalowasha kama unasonya inaitwaje kwa kiswahili na english-

Kile kitendo kinachotokea unapokuwa unasugua ulimi na kutoa ute mzito kinaitwaje kwa kiswahili na english-
Kuguna - grunting
Kusonya - smacking (of lips)
 
Hiyo namba 5 ni Tufaha sio Tufaa,hili jina limetolewa kwenye lugha ya Kiarabu.
 
Jamaa anasema" Nitaongea Kiingereza kama wao wazungu wanavyoongea lugha yetu ya Kiswahili"

Changanya tu maneno,twende kazi😝
 
Apple kwa kiswahili ni tufaha sasa mbona wewe umeanza na neno Apple halafu unaweka neno tufaha kama tafasiri yake?

Halafu bamia ni Okra sio Ocra.
 
katika uliyoorodhesha neno moja tu nilikua ndio silijui kwa Kiingereza, tunda la mastafeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…