Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Kuna jamaa ka comment mbona Iringa single mother wengi nikaona niwajibie watani zangu kama ifuatavyo.

''Sasa kama wanaume wote wamejinyonga unategemea wanawake wasiwe single mother''
 
Ukarimu uliopitiliza
  1. Wajita
  2. Wachaga
  3. Wamakonde
  4. Waluguru
  5. Wanyaturu
  6. Warangi
  7. Wazaramo
  8. Wagogo
  9. Wangoni
Sababu ni kama ifuatavyo
  1. Misimamo na fujo
  2. Utafutaji
  3. Burudani kwenda mbele
  4. Shughuli kila wiki
  5. Weupe na mvuto
  6. Weupe na mvuto
  7. Mdundiko
  8. Hawaeleweki
  9. Ukarimu uliopitiliza
 
  1. Wajita
  2. Wachaga
  3. Wamakonde
  4. Waluguru
  5. Wanyaturu
  6. Warangi
  7. Wazaramo
  8. Wagogo
  9. Wangoni
Wachagga ni "intersection" maana kila set wapo; wakitajwa:
warembo wamo
Single maza wamo
Wasio na shape wamo
Wanaua waume zao wamo
Wenye vigimbi wamo
Wasomi wamo
Wapambanaji kimaisha wamo
Waoongoza kuolewa wamo
Wanoolewa na madon wapo

Hawa watu ni nouma na ajabu watu hawaachi kuoa Wachagga! Kongole kwenu mabinti wa Kichagga
 
Wake wakichaga kuliwa liwa na wahuni pia sema wamo saana.
 
Niko nataka kumpiga chini mchaga mwenzangu hapa, ujike dume, dharau ni too much aisee
 
Kwasasa huo ni ugonjwa wa wote tu!

Zamani wabena walisifika kuwa ndio Bora kwenye ndoa lakini Kwa sasa wanashindana na redio Kwa kuongea uchafu! Hasa wakijipata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…