Haya malalamiko ya sijui sasa hivi sasa wanaume hawaendi zaidi ya bao tatu mmeyasikia ndugu zangu?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Kuna ukweli wowote kwenye hili ndugu, jamaa na marafiki zangu? Lalamiko hili linasambaa kwa kasi sana aise...

Nini kifanyike kuzima uvumi huu wa kufedhehesha sasa, tusaidiane tafadhali...

Zaidi sana,
tujitahidi kula vyakula mchanganyiko vya kutosha, kushiriki mazoezi mara kwa mara ili kuweka utimamu wa mwili safi na sawa, lakini pia ili kuwa na stamina katika kustahimili game ipasavyo na tena bila kuchoka halafu ni zaidi ya hizo raundi tatu zinazolalamikiwa..

Usisahau kula matunda, kunywa maziwa fresh na maji ya kutosha mara kwa kuimarisha afya yako πŸ’

Nini maoni yako
 
Msimamo ni hakuna kurudia, km na yy anataka aridhike basi atoe hela. Haiwezekani nimtongoze, nimtumie nauli, nimlishe, nimnyweshe nilipe Lodge, nimuachie kifuta Jasho afu nipambane kumridhisha yy tu..
 
Tafuta pesa acha uboya! Wee waza ngono wakati wenzako wanatengeneza chambi chambi
 
Msigwa anadai tatizo ni Mbowe ndiye anayesababisha haya yote
 
Msimamo ni hakuna kurudia, km na yy anataka aridhike basi atoe hela. Haiwezekani nimtongoze, nimtumie nauli, nimlishe, nimnyweshe nilipe Lodge, nimuachie kifuta Jasho afu nipambane kumridhisha yy tu..
malipo ni hapa hapa duniani sio? mmedhulumiwa sana kwa muda marefu, eti?🀣
 
Tafuta pesa acha uboya! Wee waza ngono wakati wenzako wanatengeneza chambi chambi
unanifokea mimi au wadau wanaume wachangiaji hoja hii mahususi mezani?

we ni Ke au Me kwanza?

na kama ni Me basi inawezekana ndio walalamikiwa mahususi wenyewe nyie ambao, hata hilo moja umekwama kabisa, maana sio kwa makasiriko hayo 🀣

zingatia ushauri pale juu
 
Wewe ndie unayetaka kuwa supika huko mbeleni!?πŸ˜‚
 
Wewe ndie unayetaka kuwa supika huko mbeleni!?πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…